[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shida ya wabongo wanafikiri kila mzungu anayekuja hapa ana njaaa. wengine hapo walishawekeza huko kwao tangu mababu, huku wanakuja tu kutafuta umaarufu. si umeona hapo amesema hela amewaachia wanaweza kutumia kwenye shughuli zao zingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemuwezaaa, na umempaa kavu hiloo.Kuna watu huwa mnajifanya mnajua kila kitu, sipendi kuwajibu lakini kwako wewe nimeona nikujibu kwa faida ya wengine wenye kidomodomo kama wewe. KULA CHUMA.........
View attachment 2755740
Anahofu watu wasije kusema fedha ya serikali inatumika hapa!"kesho yake tulikaa kikaoni na uongozi wa Klabu kikiongozwa na Waziri wa Fedha ambaye ndiye bosi wa Klabu"
Mbona huwa anakataa kuwa yeye ndiyo mmiliki huyo Waziri!?
Basi tufanye kamtaja mmilikiwa Timu!? we unamjua ni nani!?Muandishi umepotosha, jamaa hajamtaja waziri wa fedha, nimechek full interview
Basi ni fisadi huyo mwenyetimu...Anahofu watu wasije kusema fedha ya serikali inatumika hapa!
Kuna yule Okwa alisema hata Makolo timu wanapanga viongoziNatamani Gamondi nae alijitambue kama huyu msouth,maana pale gongowazi Kuna wapuuzi wanajiona miungu watu na tunajua Wana first eleven Yao.
Huko nako mambo ni hayo hayo tu ya kupangiana kikosi!! Hawatawezana, ila huo ndio msimamo sasa unaotakiwa kwa makocha wanaojitambua!! TATIZO NI NJAA KWA WENGI.Simba kocha huyu hapa mshindwe wenyewe
Wewe Hussein Massanza, hata kama unamuogopa huyo boss wako! Bado unatakiwa umwambie ukweli. Aache kuingilia kazi za watu. Ona sasa mmempoteza kocha makini sana kutokana tu na uswahili wenu.
Halafu si ndiyo wewe ulitukatalia hapa eti mwigulu hahusiki na hiyo timu yenu!! Sasa imekuwaje tena Kaburu amewaumbua!!!
Nitakuwa mtu wa mwisho hapa duniani kuamini kama Singida (Big Stars) Fountain Gate siyo mali ya Mwigulu Nchemba.Tumia akili yako vizuri mkuu Tate. Usikubali kuaminishwa vitu kizembe hivyo!
Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu
Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...www.jamiiforums.com