Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Kweli masta
 
Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.

Ni vile tu pesa kipindi chake haikuwa na thamani kama sasa ila Gaucho alipaswa kuwa tajiri kuwazidi wote hao mzee wa tabasam hata umkwatue kiatu ye ni [emoji16]
 
Watu wanaropoka mkuu yan ni noma
 
Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.
hili nitalishuhudia duniani na mbinguni, waache watoto wadogo wasifie watoto wenzao, ila Gaucho hana wa kufananishwa naye.
 
kwamba kile kipaji ni dawa alichomwa?
kwamba mpira kunasa miguuni mwake ni sindano alichomwa?

aisee nimemtazama yule andunje toka akiwa 17, ile ni habari nyingine........

Capello akiwa kocha juventus, baada ya mechi ya kirafiki kati ya juve na barça, 2003 kama sio na 04, alisema hajawahi kuona kipaji kama Messi, na akahitimisha kwamba huyu atakua mchezaji bora dunia kuwahi kumshuhudia, by then alikua 16yrs!
 
hili nitalishuhudia duniani na mbinguni, waache watoto wadogo wasifie watoto wenzao, ila Gaucho hana wa kufananishwa naye.

Unachekesha sana 😄 kwahiyo wote wanaomkubali messi ni watoto 😄 wewe sio mwanampira, umejikita kwenye mahaba niuwe ila umweli unaujua Messi hakuna wa kufananishwa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…