Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Huyo rafiki yako ni mfano wa watanzania wengi wajinga, ambao wanaishia kupata msongo wa mawazo kwa sababu wanaamini katika utimu tu kwa kila jambo.

Timu diamond, kiba, harmonize
Timu nandy vs zuchu vs ruby
Timu samia vs magu vs lowassa vs lissu
Timu ccm vs chadema
Timu wasafi vs konde gang
Timu simba vs yanga (hapa ndo headquarters ya mazombie)
Timu Israel vs Palestina,
Timu Russia vs Ukraine
Timu USA & co vs Russia
Timu USA vs China, North Korea, Iran, etc
Timu Messi vs CR7

Uislam vs ukristo (hasa humu jf)
Arusha vs Mwanza, Dar vs Nairobi, kahama sijui na njombe

Na kuendelea

Watz wengi hawana neutrality. Kila jambo ni kulichagulia utimu, matokeo yake ni kuteseka kama huyo mwamba alivyoteseka hadi kuamua kukuvunjia ukimya.

Neutrality ni chanzo cha amani na furaha ya kweli, unaenjoy to the maximum bila mipaka wala unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli masta
 
Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.

Ni vile tu pesa kipindi chake haikuwa na thamani kama sasa ila Gaucho alipaswa kuwa tajiri kuwazidi wote hao mzee wa tabasam hata umkwatue kiatu ye ni [emoji16]
 
Kujaribu kumfananisha Messi na Haaland asiyeweza hata kupiga chenga moja si tu ni kumdhalilisha Messi, bali ni kulidhalilisha soka lenyewe.

Haaland hawezi kuibeba timu kama ambavyo LM10 na CR7 wamekuwa wakifanya for years, yeye akikosa viungo wazuri wa kumlisha apige shuti golini Haaland anaweza kuchemka sana.

Ndo maana siku moja kakosolewa kwa kugusa mpira mara chache kwenye game akasema haijalishi anagusa mpira mara ngapi yeye kazi yake ni kutikisa nyavu, ndicho anachokizingatia na kikitimia yeye kamaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wanaropoka mkuu yan ni noma
 
Sijawahi kushuhudia binadamu bora wa kandanda duniani zaidi ya Ronaldinho, dunia inakuhusudu sana mzee Gaucho.
hili nitalishuhudia duniani na mbinguni, waache watoto wadogo wasifie watoto wenzao, ila Gaucho hana wa kufananishwa naye.
 
Weupe waliomfanyia programs za kumpata wakiamua wanaweza, kwani hujui kuwa alichonwa sindano za kuongeza urefu wa kimo, je hizo sindano zilihakikiwa na nani kama hazikuwa na vinasaba vyovyote vya dawa za kuongeza nguvu mwilini mbali na kipaji tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kwamba kile kipaji ni dawa alichomwa?
kwamba mpira kunasa miguuni mwake ni sindano alichomwa?

aisee nimemtazama yule andunje toka akiwa 17, ile ni habari nyingine........

Capello akiwa kocha juventus, baada ya mechi ya kirafiki kati ya juve na barça, 2003 kama sio na 04, alisema hajawahi kuona kipaji kama Messi, na akahitimisha kwamba huyu atakua mchezaji bora dunia kuwahi kumshuhudia, by then alikua 16yrs!
 
hili nitalishuhudia duniani na mbinguni, waache watoto wadogo wasifie watoto wenzao, ila Gaucho hana wa kufananishwa naye.

Unachekesha sana 😄 kwahiyo wote wanaomkubali messi ni watoto 😄 wewe sio mwanampira, umejikita kwenye mahaba niuwe ila umweli unaujua Messi hakuna wa kufananishwa nae
 
Back
Top Bottom