Ameeen
 
Nchi bila nyala za Serikali,wizi,kukwepa Kodi,unga na magendo hutoboi maana hata makodi Ni mengi mnoo.

Sio Tanzania tu dunia nzima bila dark business na smuggling kutoboa utakusikia tu, kwenye madini ndio umesikia kilo 61 zimetoroshwa na hazina vibali, kwenye mifugo kila leo inatoroshwa japo utajiri halali upo lakini utachelewa sana kufanikiwa
 
Ingia mtaani, jichanganye kwenye magenge ya nyanya, vitunguu, viazi, nk Biashara zinapigwa humo siku hizi tena kimya kimya unahisi mtu kafungiwa nyanya, biringanyi au viazi kumbe kafungiwa mzigo toka kwa Pusha mzoefu, nimetoboa Siri
Naenda fungua genge kwenye soko la changanyikeni🏃🏃
 
Inachosikitisha na wengine wanafahamika ila hawagusiki, ukimgusa andaa kaburi lako kabisa au umuwahishe yeye kama una nguvu
 
Sio Tanzania tu dunia nzima bila dark business na smuggling kutoboa utakusikia tu, kwenye madini ndio umesikia kilo 61 zimetoroshwa na hazina vibali, kwenye mifugo kila leo inatoroshwa japo utajiri halali upo lakini utachelewa sana kufanikiwa
Hakuna utajiri halali mzee ,utauoataje sasa? Lazima uzulumu ila ndio ujue Kuna kifo na jela.
 
Kwa hiyo huyo Kocha wa Magolikipa ndio kawa Mkubwa kuliko tukio lenyewe.

Hivi haliingekuwaje kama ingemuhusu Mmiliki au Wachezaji au Kocha mkuu n.k?.
 
Labda wanapunguza competition.
 
Mkuu ni nani alikua anasembua lile TANDAMU. Huyo mpuuzi katukosesha raha kwa muda mrefu sana na nilishangaa ghafla tu sioni picha zake insta. Kumbe jamaa yake alikua mbeba sembe!

Sema jamaa ka enjoy sana lile dubwasha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo basi itakuwa vigumu kuishinda hii Vita.

Tumekwisha!🙆
 
Kama ni hivyo basi itakuwa vigumu kuishinda hii Vita.

Tumekwisha!🙆
Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
 
Lakini ndiyo tunamaliza nguvu kazi ya Taifa hivyo.

Huku Ushoga kule Madawa ya Kulevya mwisho wa Siku tunakuwa na Taifa lenye Vijana ombaomba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…