Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kutafuta kipindi punda nomaaa😹.unajigeuza nyama ya🦁Wamba wametumia kanuni ya get rich or die trying sema ajali kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutafuta kipindi punda nomaaa😹.unajigeuza nyama ya🦁Wamba wametumia kanuni ya get rich or die trying sema ajali kazini
I second you 👏Tanzania wengi ni wauza sembe. Wamejifisha kwenye biashara mbalimbali zilizo halali, huku nyuma wanapush Sembe.
AmeeenYaani mtu anaangalia upande mmoja wa kupata Utajiri tu kupitia Madawa ya Kulevya ila haangalii hasara anayoitengeneza kwa Taifa kwa Kuzalisha Wateja.
Hii Vita inahitaji watu wenye maamuzi magumu kama JPM kuweza kuufyeka Mtandao.
Mungu asaidie kuponya Vizazi vyetu
Ingia mtaani, jichanganye kwenye magenge ya nyanya, vitunguu, viazi, nk Biashara zinapigwa humo siku hizi tena kimya kimya unahisi mtu kafungiwa nyanya, biringanyi au viazi kumbe kafungiwa mzigo toka kwa Pusha mzoefu, nimetoboa SiriTumetembelea Pusha huyo😄
Nchi bila nyala za Serikali,wizi,kukwepa Kodi,unga na magendo hutoboi maana hata makodi Ni mengi mnoo.
Naenda fungua genge kwenye soko la changanyikeni🏃🏃Ingia mtaani, jichanganye kwenye magenge ya nyanya, vitunguu, viazi, nk Biashara zinapigwa humo siku hizi tena kimya kimya unahisi mtu kafungiwa nyanya, biringanyi au viazi kumbe kafungiwa mzigo toka kwa Pusha mzoefu, nimetoboa Siri
Inachosikitisha na wengine wanafahamika ila hawagusiki, ukimgusa andaa kaburi lako kabisa au umuwahishe yeye kama una nguvuYaani mtu anaangalia upande mmoja wa kupata Utajiri tu kupitia Madawa ya Kulevya ila haangalii hasara anayoitengeneza kwa Taifa kwa Kuzalisha Wateja.
Hii Vita inahitaji watu wenye maamuzi magumu kama JPM kuweza kuufyeka Mtandao.
Mungu asaidie kuponya Vizazi vyetu
Hakuna utajiri halali mzee ,utauoataje sasa? Lazima uzulumu ila ndio ujue Kuna kifo na jela.Sio Tanzania tu dunia nzima bila dark business na smuggling kutoboa utakusikia tu, kwenye madini ndio umesikia kilo 61 zimetoroshwa na hazina vibali, kwenye mifugo kila leo inatoroshwa japo utajiri halali upo lakini utachelewa sana kufanikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio vile tena, tushapata jina jipya mjini....UNGA FC, hebu twende Entertaiment kule tukaendelee na story
Labda wanapunguza competition.Oya sikia sikia nimekatisha mtaani hapa kuna mdau ni Pusha mzOefu namaanisha ni Pusha mzOefu miaka na miaka anasambaza, anauza na ana vijana wanasambaza na Polisi wanamjua na wanamfahamu kabisa kabisa na hua wanakuja kumtembelea mara kwa mara nasikia hua wanakuja kuchukua mgao wao, how does this happen kwa hawa au dili limebuma wamegoma kutoa mgao kwa Polisi au nini kimewakuta?
Mkuu ni nani alikua anasembua lile TANDAMU. Huyo mpuuzi katukosesha raha kwa muda mrefu sana na nilishangaa ghafla tu sioni picha zake insta. Kumbe jamaa yake alikua mbeba sembe!NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMPA POLE YULE DADA SANCHOKA, BAADA YA BWANA WAKE HUYO ALIEMBADILISHA MPAKA AKASLIMU NA KUFUTA PICHA ZAKE ZA AJABU AJABU KULE INSTAGRAM KUKAMATWA.
KUUA HII BIASHARA BADO KUNA KAZI SANA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ASIEPENDA KULA MAISHA MAZURI YA KIFAHARI NA MTOTO MZURI KAMA SANCHOKA.
Kama ni hivyo basi itakuwa vigumu kuishinda hii Vita.Biashara ya madawa kwenye nchi zote duniani viongozi wanahusika. Wee angalia program moja national geographic uwasikie wauza unga wanavyosema wenyewe. Wanakwambia kabisa sie tunaongea ili public ijue hao wanauwatumainia kuwasaidia kupambana na hili janga la madawa ndio kwanza mstari wa mbele katika kufanikisha hii biashara
Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuuKama ni hivyo basi itakuwa vigumu kuishinda hii Vita.
Tumekwisha!🙆
Aisee!🙆Inachosikitisha na wengine wanafahamika ila hawagusiki, ukimgusa andaa kaburi lako kabisa au umuwahishe yeye kama una nguvu
Lakini ndiyo tunamaliza nguvu kazi ya Taifa hivyo.Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
Jamaa alikuwa anapambania ugali wake jamani. Hizi ni ajali tuu kazini kama ile ya kageraSo whaaaaat kama ni mwalm wa makipa
Japo sio mazuri ila daah hawa jamaa hakuna kipindi walikua wanakera kama walipokua wanatuita viny.... FC, Mara utasikia wanasema hapa kuna harufu ya mavy.. nilikua nakereka sanaUnamita akabebe mzigo au,mbona wito wa juhudi namna huyo[emoji1][emoji1][emoji1]