Kumbe ule mzigo wa Sanchoka unamilikiwa na huyu mdau?Sanchoka atakua katika wakati mgumu bwana ake ni muuza madawa ya kulevya
Cambiaso ndio basi tena,jamaa alijificha kwenye kichaka cha soccer academy kumbe muuza unga pumbavuDuuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Peleka ushahidi kwenye Ile idara inayopamban na madawa ya kulevya jinai huwa aiexpireUnga alikua anauza Manji kipindi anailea Yanga mbona hamkuja juu
Camboaso alishatajirika...na kashakamatwa marra kama mbili...why aliendelea na hii biasharaMimi mkongwe wa temeke kwa umri wangu wa 42yrs ila kwa sasa sipo temeke ila nimekuwa nae na kucheza cha ndimu na cambiaso ila sio mwarami
Tanzania ni nadra kukamata cocaine....Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
Quite the contrary...trust me lwo hii nchi iseme sembe heroin bangi ni free kutumia....price zake zitashuka next to nothing.Ni kweli Huenda Hela zao wakiziingiza kwenye biashara ya Ujenzi (Construction Industry) zinaleta Ajira na maisha kwa Vijana lakini angalia athari hasi zao.
Unadhani wakiachwa kufanya kazi zao kwa Uhuru si ndiyo watamaliza Kizazi chote kwa Madawa.
Mim nilishajiulizaga unamiliki academy alafu unautajiri wa kutupa vile nikitu ambacho hakileti mantikiCambiaso ndio basi tena,jamaa alijificha kwenye kichaka cha soccer academy kumbe muuza unga pumbavu
Wauza unga ndio walioshika uchumi wa TanzaniaHuyo Cambiasso Mange alishawahi kumnyooshea kidole. Yametimia.
Peleka ushahidi utakua umefanya jambo la maana sanaMkifatiliwa vizuri hata GSm ni dealer wa hii kitu
Na ni makada wa ccm kindakindakiWauza unga ndio walioshika uchumi wa Tanzania
Hata maneno mbofu mbofu yote itayeyuka kama barafu😹Japo sio mazuri ila daah hawa jamaa hakuna kipindi walikua wanakera kama walipokua wanatuita viny.... FC, Mara utasikia wanasema hapa kuna harufu ya mavy.. nilikua nakereka sana
Sasa watakoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ila watu hamkosi pointSasa naanza kuelewa kwa nini mzamiru anaitwa kiungo punda
Unakosea katika kudhibiti, mtu anatoka kirahisihivi kwanini huyu zuberi kambi anakamtwa na kkila siku... wala hafungwi
NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMPA POLE YULE DADA SANCHOKA, BAADA YA BWANA WAKE HUYO ALIEMBADILISHA MPAKA AKASLIMU NA KUFUTA PICHA ZAKE ZA AJABU AJABU KULE INSTAGRAM KUKAMATWA.
KUUA HII BIASHARA BADO KUNA KAZI SANA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ASIEPENDA KULA MAISHA MAZURI YA KIFAHARI NA MTOTO MZURI KAMA SANCHOKA.
Kumbe hapo ni Principal ya Demand and Supply ndiyo ina run?🙆Quite the contrary...trust me lwo hii nchi iseme sembe heroin bangi ni free kutumia....price zake zitashuka next to nothing.
Kwanza tambua kabisa watawala ndio wanataka hizo prices ziwe juu kwa kufanya kuwa illegal.
Tafuta docymentary moja ya national geographic " narco wars" utaelewa nachosema.
Pia kuna mwanadada mmoja mariana van zeller ana program yake inaitw trafficked...utapata data zote kuhusu hii industry.
Yaani wewe mtu ankuwa na shamba la bangi heka 200 alafu useme eti serikali haijui....ebu wee lima bangi nyumbani kwako tuone itakuwaje.
Drug business is state run. Mesho tuu uki legalize madawa biashara hiyo inakuwa ya kawaida tuu na watu hawata itamani.
Hakika Swahiba sema ndo maisha yalivyo huwa saa ingine yana siri kubwa mno.Cambiaso ndio basi tena,jamaa alijificha kwenye kichaka cha soccer academy kumbe muuza unga pumbavu