Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Duuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Cambiaso ndio basi tena,jamaa alijificha kwenye kichaka cha soccer academy kumbe muuza unga pumbavu
 
Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
Tanzania ni nadra kukamata cocaine....
Heroine ni kawaida
 
Ni kweli Huenda Hela zao wakiziingiza kwenye biashara ya Ujenzi (Construction Industry) zinaleta Ajira na maisha kwa Vijana lakini angalia athari hasi zao.

Unadhani wakiachwa kufanya kazi zao kwa Uhuru si ndiyo watamaliza Kizazi chote kwa Madawa.
Quite the contrary...trust me lwo hii nchi iseme sembe heroin bangi ni free kutumia....price zake zitashuka next to nothing.
Kwanza tambua kabisa watawala ndio wanataka hizo prices ziwe juu kwa kufanya kuwa illegal.
Tafuta docymentary moja ya national geographic " narco wars" utaelewa nachosema.

Pia kuna mwanadada mmoja mariana van zeller ana program yake inaitw trafficked...utapata data zote kuhusu hii industry.

Yaani wewe mtu ankuwa na shamba la bangi heka 200 alafu useme eti serikali haijui....ebu wee lima bangi nyumbani kwako tuone itakuwaje.
Drug business is state run. Mesho tuu uki legalize madawa biashara hiyo inakuwa ya kawaida tuu na watu hawata itamani.
 
Kamishna, wanyatie akina Shabiby pia, hawajakamatwa. Wanabwabwaja kule bungeni utadhani hatujui ushenzi wao. Gairo kimekuwa kituo cha meno ya tembo sasa wako na madawa pia.
 
Sanchi na mimba kubwa tu sijui keshajifungua ama hizi habari ndo zitampa msukumo wa kuingia leba haraka
NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMPA POLE YULE DADA SANCHOKA, BAADA YA BWANA WAKE HUYO ALIEMBADILISHA MPAKA AKASLIMU NA KUFUTA PICHA ZAKE ZA AJABU AJABU KULE INSTAGRAM KUKAMATWA.
KUUA HII BIASHARA BADO KUNA KAZI SANA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ASIEPENDA KULA MAISHA MAZURI YA KIFAHARI NA MTOTO MZURI KAMA SANCHOKA.
 
Quite the contrary...trust me lwo hii nchi iseme sembe heroin bangi ni free kutumia....price zake zitashuka next to nothing.
Kwanza tambua kabisa watawala ndio wanataka hizo prices ziwe juu kwa kufanya kuwa illegal.
Tafuta docymentary moja ya national geographic " narco wars" utaelewa nachosema.

Pia kuna mwanadada mmoja mariana van zeller ana program yake inaitw trafficked...utapata data zote kuhusu hii industry.

Yaani wewe mtu ankuwa na shamba la bangi heka 200 alafu useme eti serikali haijui....ebu wee lima bangi nyumbani kwako tuone itakuwaje.
Drug business is state run. Mesho tuu uki legalize madawa biashara hiyo inakuwa ya kawaida tuu na watu hawata itamani.
Kumbe hapo ni Principal ya Demand and Supply ndiyo ina run?🙆

Kweli kufa kufaana
 
Back
Top Bottom