22 October 2022

Makala ya Kiliniki Iliyoendeshwa na Cambiaso Sports Management wakishirikiana na Rainbow Sports jijini Dar Es Salaam kusaka vipaji vya soka kutoka kwa vijana wadogo ili kupata fursa ya kucheza soka la kulipwa nje ya nchi Barani Ulaya na Amerika.


Source: cambiassosports
 
Rainbow sports= michezo ya upinde.
globalization= dunia Kama kijiii
 
Vijana clean bado wapo wa kutosha tu..mtu akiwa shoga anapunguza nguvu kazi kwa kiasi ambacho ni negligible
Ila kwa Kasi iliyopo nadhani baada ya miaka 10 ijayo ukiproject unaweza Kuta athari zake zimezidi kuwa kubwa zaidi.

Kuna baadhi ya mambo tunahitaji kupambana kuyafuta kabla hayajaleta athari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…