Huu ndio ukweli. Matajiri wengi wa Bongo wana historia chafu na hatari sana. Unakuta utajiri wake haueleweki. Vyanzo vikuu vya mtaji havijulikani wala kueleweka [emoji23], vyanzo halisi ni pesa chafu/haramu
1. Pesa ya ufisadi
2. Biashara haramu/magendo (madawa, ujangili)
3. Kuwepa kodi
4. Utapeli
5. Utajiri wa uchawi
6. Utajiri wa connection na wakubwa
7. Tenda za wiziwizi
8. Kuchezea mikopo ya mabenki
9. Umafia
10. Dhuruma
11. Kuleta vitu feki
12. ..............
Mtaendelea kujaza wenyewe.
Halafu mtu akitajirika kwa mbinu hizo anasema vijana fanyeni kazi, changamkia fursa [emoji23][emoji23][emoji23], nilianza na mtaji wa aftatu leo ni bilioni tatu [emoji23][emoji23]