Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
Lakini ndiyo tunamaliza nguvu kazi ya Taifa hivyo.

Huku Ushoga kule Madawa ya Kulevya mwisho wa Siku tunakuwa na Taifa lenye Vijana ombaomba tu
 
Personaly i dnt bliv that...maana kwanza ni fraction ndogo sana ya society ambao ni mashonga na ni mateja. Plus look on the bright side hawa ndio wanajenga mijengo wanaingia kwenye construction industry so there are always two sides to a story.
 
Hawakaguliwi wanamichezo mkuu
Hawakaguliwi?dunia ya sasa?!!!hayo yalikuwa labda zamani,siku hizi mipira yote inasafirishwa ndani ya mabegi maalumu ya kuhifadhia,na linapitia hatua zote za ukaguzi wa mizigo uliopo uwanja wa ndege.Mwana michezo naye anapita kwenye scanner wanayopita abiria wote,hapitii kwenye VIP.
 
Huwezi shinda hii vita mzeya...wee yule jamaa wa mexico de guzman alikuwa anasafirisha kilo 300 kwenye tunnel under the america mexican border na kilo mtaani is worth over 80 million unadhani huyo utamshika kirahisi. Sii vipolisi vyote navihonga tuu
Kwa sababu huwezi shinda ndo serekali iachie yauzwe kama njugu mbona utetezi wa kijinga sana huu, ulishawahi kuwa na ndugu anayetumia madawa ya kulevya omba Mungu isijekutokea kama haijakitokea
 
1668511327343.png

HII Case jamaa aloishinda miaka 2 iliyopita,huyo wa mbele chalifungwa miaka 20
Tangu 2010 mpaka sasa cambiasso anakamatwa na kuachiwa kila uchao, utaona safari hii itakavyokuwa
 
Kwa sababu huwezi shinda ndo serekali iachie yauzwe kama njugu mbona utetezi wa kijinga sana huu, ulishawahi kuwa na ndugu anayetumia madawa ya kulevya omba Mungu isijekutokea kama haijakitokea
Wacha yauzwe tuu kwanza yakiwa available biashara haitakuwa na maana tena na haitakuwa na profits kubwa kihivyo. Simple demand and supply principle
 
Personaly i dnt bliv that...maana kwanza ni fraction ndogo sana ya society ambao ni mashonga na ni mateja. Plus look on the bright side hawa ndio wanajenga mijengo wanaingia kwenye construction industry so there are always two sides to a story.
Ni kweli Huenda Hela zao wakiziingiza kwenye biashara ya Ujenzi (Construction Industry) zinaleta Ajira na maisha kwa Vijana lakini angalia athari hasi zao.

Unadhani wakiachwa kufanya kazi zao kwa Uhuru si ndiyo watamaliza Kizazi chote kwa Madawa.
 
Back
Top Bottom