Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

Let's arrive in numbers and let's arrive as early as possible to cheer on Bafana Ba Style!  #S...jpg


JF ina watu waajabu sana yani.

Nenda kwenye Official Account ya Mamelody Instagram kuna Jibu lako
 
Kocha wa Mamelodi Sundowns ametowa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukuwa ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty.

Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo nyumbani maana mashabiki wengi wa Johannesburg hawataweza kwenda kuisupport Mamelodi Kwa sababu South Africa Saa 4 usiku hakuna train wala tax ( daladala South Africa zinaitwa tax).

Hivyo mashabiki wengi wa Johannesburg wanasikitika hawataweza kwenda Pretoria kuipa sapoti timu.

Watu wa Pretoria in dhahiri si watu wa Mpira hawaendi uwanjani mpaka kufikia kubatizwa Jina la utani 57 FC, Yani wana mashabiki 57 tu.

Mamelodi wameshauliwa next time game kubwa wazipeleke Cape town wakapate full support.


Una matatizo wewe na huyo kocha
 
Sasa wameendelea nini Sauth Africa mbona huwa mnawasifu sifu sana kwamba wameendelea
Unakosaje tax SAA 4 kwenye mji mkubwa kama huo
Basi hata Mafinga pako juu huwezi kosa daladala za Kinyanambo C saa 4
Hata kama mechi inachezwa Njombe ikiisha SAA 4 huwezi kosa coaster kibao za Iringa mjini unasafiri vizuri tu
Basi Bongo tupo mbali sana kwa huduma za usafiri
Saa 4 Coaster za Singida zipo kibao tu wanakwama wapi SA
 
Sasa wameendelea nini Sauth Africa mbona huwa mnawasifu sifu sana kwamba wameendelea
Unakosaje tax SAA 4 kwenye mji mkubwa kama huo
Basi hata Mafinga Palo juu huwezi kosa daldala za Kinyanambo C saa 4
Kuanzia Saa 4 usiku kama haujapanda public transport utumie meter tax au gari yako binafsi.
 
Tuangalie source za hao Akina Mzanzi , matahira wenzako au tuangali Officill Account ya Mamelody.

Jf Imekuwa na Mipumbavu mingi sana.

Sheenzi type
Huna akili wewe, hizo account za club zinaendeshwa na maadmin wanafanya Propagation kama Ahmed Ally na Manara tu Jinga wewe.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-04-05-15-28-37-77.png
    Screenshot_2024-04-05-15-28-37-77.png
    451.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom