Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

Mechi haichezwi saa 4 usiku kwa saa za south.

Mechi inachezwa saa mbili usiku kwa saa za south africa.

Mamelodi sio timu yenye mashabiki wengi.

Mamelodi ni kama Azam kwa Tanzania.

Timu za africa kusini zenye mashabiki wa kujaza uwanja ni Orlando pirates na Kaizer chiefs
Kwa sababu huna akili hujui kama mechi itaisha Saa 4 usiku Kwa Saa za South Africa.
 
Kaizer cheef wote wameapa kwenda kuisupport yanga
Kwa sababu huna akili hujui hakuna Mzulu wa kutoka Soweto kwenda Pretoria usiku halafu arudi location Soweto, hakuna usafiri.

Orlando na chiefs mechi zao zinachezwa FNB stadium ambayo iko Soweto.

Soweto kirefu chake ni South and west townships ambako ndio base ya mashabiki wa Chiefs na Orlando, Soweto iko ndani ya City of Johannesburg, Pretoria na Johannesburg zipo jimbo moja la Gauteng Province, plate number za magari yao wote ni GP.
 
Kwa sababu huna akili hujui kama mechi itaisha Saa 4 usiku Kwa Saa za South Africa.

saa 4 usiku ndio mashabiki washindwe kwenda nyumbani, mechi ya simba na Al ahly kwa mkapa iliisha saa ngapi ?

mechi ya yanga vs mamelodi kwa mkapa iliisha saa ngapi ?

je mashabiki walilalamika kwamba muda huo watashindwa kwenda nyumbani ?
 
Wanarudi kesho yake.

By the way, kama kuna watu wametoka Dar hadi huko, wao wanashindwaje? back to square one, kama wana nia ya kusapoti wangeweza tu kwenda. Mbona Yanga watu walikwengda Kigali?
Mamelodi ni Azam ya South Africa, elewa hili Kwanza.
 
saa 4 usiku ndio mashabiki washindwe kwenda nyumbani, mechi ya simba na Al ahly kwa mkapa iliisha saa ngapi ?

mechi ya yanga vs mamelodi kwa mkapa iliisha saa ngapi ?
Lack of exposure, wewe hujawahi hata kuvuka mpaka wa Namanga, hujui kabisa kuna nchi zina maisha tofauti Sana.

Hiyo Mamelodi siyo timu ya Wazulu, NI timu kama Azam iliyofanyiwa uwekezaji mkubwa na Rais wa CAF.
 
kumbe unajua kama mamelodi haina mashabiki wengi sasa unalia lia nini mamelodi kutojaza uwanja. huku ni kawaida yao kutoujaza.. timu haina mashabiki miaka yote utaifosi vipi ijaze uwanja
 
kumbe unajua kama mamelodi haina mashabiki wengi sasa unalia lia nini mamelodi kutojaza uwanja. huku ni kawaida yao kutoujaza.. timu haina mashabiki miaka yote utaifosi vipi ijaze uwanja
Wapi nimesema Mamelodi wajaze uwanja?

Ukinionesha nakutumia Rand 1000 sasa hivi kwenye namba yako uondowe stress.
 
Upo sawa ndugu yangu.

Ingekuwa PhD yenyewe ningeandika kwa isahihi sasa hiyo ni PHD ya Mchongo.

Angalia Nyomi uwanjani

NB UACHE KULOPOKA LOPOKA MWANAUME MZIMA.
 
Back
Top Bottom