Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini


Mechi haichezwi saa 4 usiku kwa saa za south.

Mechi inachezwa saa mbili usiku kwa saa za south africa.

Mamelodi sio timu yenye mashabiki wengi.

Mamelodi ni kama Azam kwa Tanzania.

Timu za africa kusini zenye mashabiki wa kujaza uwanja ni Orlando pirates na Kaizer chiefs
 
Huyu kocha anapnekana anapenda Sana hamasa ya mashabiki

Nilimwona akifurahi Sana kuona full house pale kwa Mkapa mpaka akawa anawapigia mashabiki MAKOFI kuwapongeza kwa hamasa na kujitokeza kwa Wingi

Yawezekana hilo vibe analikosa nyumbani
 

Huyo kichakaa wa Jf PHD.

Hajui hata mechi ni saa ngapi kwa saa za south Africa.

Huyo ni PHD PATHETIC.
 
Huyu kocha anapnekana anapenda Sana hamasa ya mashabiki

Nilimwona akifurahi Sana kuona full house pale kwa Mkapa mpaka akawa anawapigia mashabiki MAKOFI kuwapongeza kwa hamasa na kujitokeza kwa Wingi

Yawezekana hilo vibe analikosa nyumbani
Mpira bila mashabiki, ni sawa na chai bila sukari.
 
Habari kutoka nchini Afrika Kusini ni kuwa Kaizer Chiefs Amakhosi4Life tawi la (Atteridgeville) mashabiki wa Kaizer Chiefs leo wataungana na Mashabiki wa Young Africans Pretoria kwenye Dimba la Loftus kuwapa hamasa (Kushangilia ) wachezaji wa Yanga mwanzo mwisho.
Wananchi hawana ugeni kwako kama kwao tu. Kaizer wanasema wanakumbuka mapokezi na sapoti

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…