Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba

Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja

1674541312118.png
 
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kuwa kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu.
20230124_004037.jpg
 
Hebu leteni habari za mikimbio ya Musonda bana, kocha wa Simba yupo na kama wewe mwanzisha mada una uhakika kaondoka weka milioni moja na mimi niweke! Uto leo mmerukaruka kama migambo pale Lupaso [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wakarukaruka na hatimaye wakaondoka na points 3. Gape likiendelea kuwa points 6.
 
Kocha mtata sana acha asepe, kocha gani unapanga kikosi unaziacha silaha za maangamizi benchi
 
Back
Top Bottom