Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Handeni ndio makao makuu ya uchawi mkoa wa Tanga.Robert Oliviera atajuta kufanya kazi na mzigua na mha.
Uchawi wa tarasimu, zongo, ndele hapo kwa waziguwa ndio nyumbani kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Handeni ndio makao makuu ya uchawi mkoa wa Tanga.Robert Oliviera atajuta kufanya kazi na mzigua na mha.
MmhhhKama ni hivyo juju za Tanga hizo
Hiyo milioni unayo sasa?Hebu leteni habari za mikimbio ya Musonda bana, kocha wa Simba yupo na kama wewe mwanzisha mada una uhakika kaondoka weka milioni moja na mimi niweke! Uto leo mmerukaruka kama migambo pale Lupaso [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sababu kubwa mbona Rage alishaisema..!! UMBUMBUMBU.GENTAMYCINE mapema sana tena hapa hapa JamiiForums NILIONYA kuwa kama analetwa Kocha Mpya na Mgeni basi hakikisheni hawa Wazawa na Waswahili Wenzetu tunaowajua ni Mabingwa wa Majungu, Fitna, Wivu na Uchawi ( Ushirikina ) wasibakie kwani Watamharibia na Kumhujumu hamkunisikia na sasa niliyoyatabiri mapema tu yametimia au yanaenda Kutimia.
Ipo Siku mtanijengea Sanamu hapa!!