Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil
Jamani huyu kizee mm simuelewi naona kama kaja kuiharibu timu

Marakumi hata gadiola mnene ulikua unaona kbs bolll linatembea lkn nao hatuna tofauti na wachezaji wa utopolo wenye mabusha
Yanga jana wametembeza boli sana tu ila wamepata ushindi bila kufunga goli. Muwe mna tabia ya kuheshimu taaluma za watu.
 
Kwa ujanja ujanja na ubabaishaji uliokithiri ndani ya hiyo klabu yake mpya, hakika atasafiri sana kwenda huko Brazil kwa sababu za kifamilia.

Imagine mpaka leo Mgosi mwenzangu pale klabuni hana mkataba wa kueleweka! Yaani karibia mwaka unaisha huu, anafanyishwa kazi kama deiwaka na Mwamedi! Yule Muharami naye ilikuwa ni hivyo hivyo. Timu imejaa uswahili na ujanja ujanja, mwanzo mwisho!!
Naona una taarifa za ndaaaaaniii kabisa za Simba ww mgosi ambazo hata club yako ya Yanga haunazo
 
Tatizo la Simba ni kwamba wamebadilisha Kocha timu ikiwa inafanya vizur, hii itamgharimu sana Kocha mpya hasa pale matokeo yatakavyokuwa sivyo ndivyo.
 
Naona una taarifa za ndaaaaaniii kabisa za Simba ww mgosi ambazo hata club yako ya Yanga haunazo
Fanya utafiti wa hoja zinazoletwa na Utopolo kuhusu Simba ni nyingi zaidi kuliko hoja zinazohusu klabu yao.
Inferiority complex ni hali mbaya sana mpaka unasahau chako na kuona cha jirani.
 
sidhani kama simba walishawahi kupata kocha kama huyu. nadhani huyu anafanana na yule mbelgiji aliyewaita wachezaji wa tanzania manyani.
 
sidhani kama simba walishawahi kupata kocha kama huyu. nadhani huyu anafanana na yule mbelgiji aliyewaita wachezaji wa tanzania manyani.
Hakuwaita wachezaji manyani.Aliwaita wapenzi wa Yanga manyani.Msimsingizie.
Sijui wanafanana vipi?Kwa sura sidhani!
 
Hakuwaita wachezaji manyani.Aliwaita wapenzi wa Yanga manyani.Msimsingizie.
Sijui wanafanana vipi?Kwa sura sidhani!
nadhani huwa wanakuja afu wanafanya vimbwanga watimuliwe walipwe mpunga waondoke. sio bure. hapo anatafuta mpunga wa kuachishwa kazi simba.
 
Tatizo la Simba ni kwamba wamebadilisha Kocha timu ikiwa inafanya vizur, hii itamgharimu sana Kocha mpya hasa pale matokeo yatakavyokuwa sivyo ndivyo.
Katika pitapita zangu siku za hivi karibuni huku mitandaoni nimegundua baada ya mechi na Ruvu Shooting, mashabiki wa Yanga hawapendi style ya boli litembee wanayotumia sasa. Uliona jinsi walivyohuzunishwa na timu yao pamoja na kuwa na possession zaidi ya 70%. Kumbuka kutandaza mpira ndiyo ilionekana kama ndiyo sahihi kwa timu zote mbili.

Kwa hiyo wakati baadhi ya watu wanabeza mfumo wa Robertinho, wengine wakiwa Simba na wengine Yanga wametokea kuuelewa. Kuna mshabiki nilimsikia kabisa akisema anapendelea zaidi mpira wa kasi wanaojaribu sasa watani wao Simba.

Style ya Robertinho iliweza kuishinda ya Nabi na Yanga akapoteza dhidi ya Vipers.
 
Kwa ujanja ujanja na ubabaishaji uliokithiri ndani ya hiyo klabu yake mpya, hakika atasafiri sana kwenda huko Brazil kwa sababu za kifamilia.

Imagine mpaka leo Mgosi mwenzangu pale klabuni hana mkataba wa kueleweka! Yaani karibia mwaka unaisha huu, anafanyishwa kazi kama deiwaka na Mwamedi! Yule Muharami naye ilikuwa ni hivyo hivyo. Timu imejaa uswahili na ujanja ujanja, mwanzo mwisho!!
Wewe kinachokuuma nini kwani unajua makubaliano yao au wewe unajua sana kuliko Mgunda mwenyewe? Tatizo unajifanya mjuaji sana kumbe mweupe tu oya oya tu
 
Feisal Salum nae aliondoka kwa kulazimishwa kumpikia Morisson?Feisal pia mtu wa pwani.
Akili za Utopolo wanazijua wenyewe.Manara hakukosea kusema wenye akili ni baba yake na Mzee Kikwete.Naanza kuona mantiki ya hoja yake.
Huko Yanga wote mazuzu tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kumbe ana sup [emoji23][emoji23]
1675097195740.jpg
 
Back
Top Bottom