Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
kusubiri wageni wasiokuhusu nako ni kukosa kaziLeo ndio siku iliyoahidiwa kuwa atarejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusubiri wageni wasiokuhusu nako ni kukosa kaziLeo ndio siku iliyoahidiwa kuwa atarejea.
Naomba nitafutie sehemu niliandika au nilipoonesha kuwa nasubiri. Hii uzi upo katika taarifa nami nikaiendeleza hiyo hiyo taarifa kuwa kwenye taarifa kwa umma iliyotolewa na klabu ya Simba, leo ndio siku ya kurejea kwa kocha. Yaani una stress hadi unapaniki kwa kitu ambacho hakipanikishi. Acha kuwaza negative kwa kila liandikwalo humu.kusubiri wageni wasiokuhusu nako ni kukosa kazi
Pole. Mmejawa na hasira hata kwavitu vya kawaida tu. Shida nini? Huu uzi ni wa kocha wa Yanga? Kuna sehemu nimeuliza kuwa anarudi au harudi? Kuna sehemu nimetaka kujua kuhusu aina ya usafiri anaokuja nao?Get a life.Utataka kujua na anakuja na ndege gani?
Kocha wenu akienda kwao nani anauliza?
Uko obsessed kijana tafuta tiba.
Asante, bahati nzuri mimi ni mwana michezo sio muumini wa maneno ya kihuni, kejeli na matusi. Kwa hayo uliyoyaandika nayakubali, ila pengine hata ukawa umejitukana na wewe mwenyewe na wengineo pia kwasababu ni kawaida humu kuingia kwenye nyuzi mbali mbali kutoa maoni haijalishi linakuhusu au halikubusu.Tabia ya kuingilia mambo yasiyokuhusu inaitwa kiherehere. Kocha hakuhusu umevalia njuga kuhusu ujio wake.
Wenye timu yao hata hawahangaiki.Shughuli ya watu wengine umekazania kukata kiuno.