Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago


unazo record za huyo kocha mpuuzi tangu apewe timu? Mechi 18, kashinda 3, kafungwa 10, sare 5 mkuu unataka atufanyie nini zaidi? Kikubwa mikabata yao iwe na kipengele cha kuwajibika kwa matokeo mabovu bila kulipwa fidia
 


Mkuu umeongea kwa hisia na uchungu saana by da way ndio nnchi hii ilivyo mkuu..relax naalafu fanya kama hakuna matatizo,bila hivyo utapata vidonda vya tumbo kwa mawazo mkuu..ishi kama una act move hivi ndio maisha ya tz yalivyo.
 
Ivi waliomteua malinzi wazima kweli,maana wanadai huyu MTU ni zee LA madili na so uongozi,kibadeni anafaa kabisa kuwa kocha wetu
 
Hapa tunaongelea mpira hayo mambo ya meya wa jiji peleka kwenye thread za siasa

Tatizo la wtz wengi wamehasiwa ubongo.
Ivi unawezaje kuwa na timu ya taifa nzuri bila kuwa na viwanja vya kujifundishia mpira utatoa wp viwanjia kama hujashirikiana na jiji?
Hapa ndio utajua hasara za kuhasi ubongo wako.
Sikila mtu ni mwanasiasa lakini kila mtu anatawaliwa na siasa ukiwemo huo mpira na timu ya taifa.
 

Vipaji vipo mchangani huko nyasi nzuri ni mbwembwe tu...academy zimejaa kibao bongo lakini hakuna ufuatiliji...huo ufuatiliaji haufanywi na meya wa jiji bali tff...so tatizo kubwa sio meya bali ni tff wenyewe
 
Vipaji vipo mchangani huko nyasi nzuri ni mbwembwe tu...academy zimejaa kibao bongo lakini hakuna ufuatiliji...huo ufuatiliaji haufanywi na meya wa jiji bali tff...so tatizo kubwa sio meya bali ni tff wenyewe

Mku nisome vizuri unielewe nini nimekisema usinilishe maneno nisiyo yatamka.
Wp nilipo sema timu inachaguliwa na meya?
 
Mm nahis tatizo ni mfumo mzima wa soka la kibongo,tungejaribu kuwekeza kwa vijana wadogo km nchi zngne.Nahis ht malinzi anatakiwa ajiuzulu.Ni mtazamo
 
Hata wakimleta Morinyo ni yaleyale, tatizo mnafananisha soka na siasa.
 
Mku nisome vizuri unielewe nini nimekisema usinilishe maneno nisiyo yatamka.
Wp nilipo sema timu inachaguliwa na meya?

Ndo maana nimekwambia tatizo sio viwanja vizur vya kuchezea bali tff koz mbona academy za kufundisha huo mpira zimejaa nyingi tu dar na zina viwanja vipo standard kwa mazoezi?...mi naona tatizo sio tff kushirikiana na majiji kupata viwanja vizur bali tff kuwa na program nzuri ya kufuatilia vipaji vilivyopo kwenye academy tofauti nchi nzima
 
Mimi nnadhani imefikia kipindi tuache kasumba ya kutumia makocha wa kigeni kufundisha timu ya taifa tuwatumie makocha wazawa tunao wengi mfano kibadeni, mkwasa n.k

Hao wote tulishakua nao kipindi cha nyuma tukasema hawafai sijui watafaaje sasa SAA hizi!
Mi nafikiri tujipange tu upya kuanzia kwenye mifumo yetu yote ya soka,uchaguzi,uongozi, na jinsi gani ya kuandaa wachezaji wetu kisha somo kubwa LA uzalendo litolewe.
 
Hivi uchaguzi pale TFF lini? Huyu Jamali Malinzi hafai kabisa kwa mustakbali wa soka letu angeondoka tu nayeye
 
Last edited by a moderator:
Nilikua sijui kama meya wa jiji ndo msimamizi wa sports!!!

Huyo jamaa nimeshindwa kumuelewa, mada iliyopo hapa inahusu kutimulia kwa kocho Taifa stars, yeye anatuletea mambo ya mameya wa Dar es alaam, yaani ndani hoja ya kitaifa, analeta hoja mji fulani tu.
 
Alie kuambia meya ndio msimamizi wa michezo ni nani?
Soma viziru andiko usikurupuke tu.

Ila wewe ile coment yako ulitakiwa ulete kama mada ya kwako, inayojitegemea maana ikichangia pale inawatoa wachangiaji kwenye mada husika.
 
Ila wewe ile coment yako ulitakiwa ulete kama mada ya kwako, inayojitegemea maana ikichangia pale inawatoa wachangiaji kwenye mada husika.

Nadhani hukuisoma vizuri au hujaiyelewa rudi uisome vizuri na uitafakari
Nadhani utaiyelewa nini nilicho kikusudia.
 

Mmekosa hoja mnaleta viroja..kwa hiyo Taifa stars wamefungwa kwakuwa TFF kuna rushwa?
 
Huwezi kunielewa kabisa mm sio rika lako na umedandia mada usio ijua na hata hivyo ukizingatia ubongo wako umehasiwa huwezi kutafakari.
Pole tembea mbele mm sio size yako.tafuta muhasiwa mwezio mujadili.

Mbele wapi huku niliko au kwingine? Au umeshakariri kila anaechangia humu mko nae hapo mtogole? We Vipi
 
Tatizo si kocha pekee,hata machezaji yenyewe hayafundishiki labda kocha atöke mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…