Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
kufukuza kocha sio suluhisho na bado hizo fidia wangemwachia tu amalize maktaba wake pale tff kumejaa majungu hata hao makocha wazawa wanaopigiwa debe hawatafanya kitu hii timu ilishatolewa kabla ya mashindano tatizo ni tff ulipoingia uongozi mpya ulitaka kuamza upya hata pale pasipo stahilimpaka sasa hawajaeleza kwanini walikatisha mkataba wa kim poulsen kwa hili naungana na faizafoxy
unazo record za huyo kocha mpuuzi tangu apewe timu? Mechi 18, kashinda 3, kafungwa 10, sare 5 mkuu unataka atufanyie nini zaidi? Kikubwa mikabata yao iwe na kipengele cha kuwajibika kwa matokeo mabovu bila kulipwa fidia