John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Tatizo lililopo Tanzania siyo suala la makusanyo ya Kodi au kiwango Cha bajeti ya Serikali, Bali tatizo ni matumizi mabaya Sana ya fedha za Walipakodi wa nchi hii ya Tanzania.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Unaweza kuona kwamba Bajeti iliyotengwa ni TShs. Trilioni 27.6, lakini mafisadi peke yao wanahujumu takribani 60% ya fedha zote kabisa za bajeti zilizotengwa kwa Mwaka husika, then 40% iliyobaki ndio inapelekwa kwenda kuhudumia Watanzania wote, Sasa katika hali kama hii hayo maendeleo ya nchi yatapatikanaje???
Wizi, rushwa na Ufisadi unaofanywa na Viongozi wa Serikali katika nchi hii ndio kansa mbaya zaidi inayoliangamiza Taifa hili la Tanzania.
"Africa is dying because we are electing Thieves to be the leaders in our countries."
Prof. PLO Lumumba.