Kweli kabisa , nakumbuka ile ya Qatar naacha kujisomea chuo nacheki gemu na hata kabla ya kuanza na baada amsha amsha nyingi mwanzo mwisho.Hii ni kwa wote... Tunaangalia tuu kwa sababu tunapenda mpira...
Labda ikifika mtoano huko vibe litakuja...
Naona vibe lilirudi pale Qatar ilikuwa moto sana michuano ileKombe la dunia lenye vibe ilikua mwisho 2010. Haya mengine yaliyofuata mambo ya teknolojia na usasa mwingi yamepunguza utamu
Umezeeka jomba, weldi kapu inalo vibe ni wewe tu umeanza fikia mda wa kuanza kuacha kutumia sukariKweli kabisa , nakumbuka ile ya Qatar naacha kujisomea chuo nacheki gemu na hata kabla ya kuanza na baada amsha amsha nyingi mwanzo mwisho.
Hii ya mwaka huu Bora nicheki series tu labda baadae tuone ila mvuto na amsha amsha hamna mpka sasa
Bwashee pombe ndio zinafanya uone vibe hakuna vibe kabisa 😆Umezeeka jomba, weldi kapu inalo vibe ni wewe tu umeanza fikia mda wa kuanza kuacha kutumia sukari
Hapa sijamtambua hata mmoja
Mateam mengi yanachosha alafu makundi ya maana yapo mwishonKweli kabisa , nakumbuka ile ya Qatar naacha kujisomea chuo nacheki gemu na hata kabla ya kuanza na baada amsha amsha nyingi mwanzo mwisho.
Hii ya mwaka huu Bora nicheki series tu labda baadae tuone ila mvuto na amsha amsha hamna mpka sasa
Hahahaha chamba koromeo kidogo bwashee, sio mbaya kulisaka vibeBwashee pombe ndio zinafanya uone vibe hakuna vibe kabisa 😆
Huna pesa, una maisha magumu. Utaona hamsha hamsha kweli? Mbona mi naona sana na nipo Egypt huku.Au ni kwangu Mimi naona limepoa sana
Hawana pesa haoHuna pesa, una maisha magumu. Utaona hamsha hamsha kweli? Mbona mi naona sana na nipo Egypt huku.
Umenikumbusha mbali mkuu, Nadhani siku hizi kuna entertainment nyingi kupitia simu tofauti na kipindi cha 2002-06 ambapo mpira ni mpira alternative za entertainment ni chache. Hapa mpaka robo au fainali pengine kukachangamka.kombe la dunia 1998 lilifana sanaa ma amsha amsha zake, burdan ikaja anza kujiishia 2002 na likaja kujifia 2006.. walijiondokea na kombe lao la duniaView attachment 3606468
SawaHaters wapuuzi tu mkuu. Wapuuzie.
Wewe unataka uandaaji au mpira?Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.
Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.
Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
Yn kisa USA tuu bc wanaona michuano n mibaya 😂 ukiwauliza sababu, hawana lolote la maanaKuna watu wakilala na wakiamka wanaiwaza USA tu.
Yn n USA ndo anawaumiza hv?Sawa Mkuu