Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,160
- 1,748
Hizi chuki kwa US sijui wadau wamezitolea wapi.Yn n USA ndo anawaumiza hv?
Bado hamjasema 😂
Hata kipindi kile WC inapigwa uarabuni kuna watu walikuwa wanaumia vile vile kwa masaa ya mechi zinazochezwa mida hiyo.Kiujumla pia kwa masaa ya Afrika Mashariki ni vigumu sana kufurahishwa na michuano hiyo kwa baadhi ya michezo, Imagine game to start saa 11 Alfajiri, saa saba usiku, and so on at nearby or few hours after midnight na ikizingatiwa raha ya mpira kutazama na wenzio katika vibanda vya mipira, how comes huo muda E.Africa tunatoka nyumbani kuelekea vibanda vya mipira!
Loooh, tujifunze kuitafuta radha njema ya ushabiki wa mipira hata tukiwa majumbani.
Yeah, hata watu waupinde walipigwa nyundo za kuingia Qatar kufanya mambo yao ambayo ni kinyume cha sheria na taratibu za Qatar. Nadhani mashindano yamefanyika wakati ambao kiusalama sana si mzuri hasa kwa Marekani so lazima achukue tahadhari, tusilaumu sana. Yawezekana hata sisi mwakani tutawapiga spana waSouth Africa kungia kwetu kwenye nchi yetu wakati wa mashindano ya AFCON kutokana na xenophobia huko kwao 😁😁😁Kila nchi ina sheria zake mbona Qatar walituzuia wala kitimoto na pombe tuka tii
Hapana, dosari ni dosari tuuBado hayo mataifa mengine wanauwezo WA kupindua kombe na likanoga
Limepoa kweli nahisi hata muda linaochezwa unachangiaAu ni kwangu Mimi naona limepoa sana
Mkuu chukua👊 👏👏 yani ww ndio mimi, naangalia sababu ni mpira napenda halina hamasa kabisa, nakumbuka hata wasiopenda mpira n kufuatilia ikifika kombe la dunia wnakua mashabiki na huwa wanaangalia lakini kwa sasa waliobaki ni wapenzi wa mpira tu.Hii ni kwa wote... Tunaangalia tuu kwa sababu tunapenda mpira...
Labda ikifika mtoano huko vibe litakuja...
Kivipi? Iran imeingiaje hapoPoint Yako kubwa ilikuwa Iran , mpira unachezwa uwanjan na sio nje ya uwanjan naona umeongelea mambo mengi ya nje ya uwanja.
Hata Qatar na Russia walijitahidi sana, nilipenda piaKumbe huangalii halafu unaponda
Kwangu la 2014 lilikuwa zuri kuliko yote
Mbona naona lina mvutoTulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.
Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.
Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026
nakubaliana kabisa na wewe; maandalizi yalikuwa mazuri ila utawala ukaharibu hali ya hewa yoteTulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani.
Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu ambacho FIFA ilikosea ni kupeleka Marekani hili kombe. Bora wangeandaa Mexico pekee kuna hamasa ya mpira.
Soma Pia: Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026