Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

Asante Yanga na Pyramids kwa kunipa hela ya mkeka
 
Hata kirumba wamezipata, watu walikuwa wengi tu
Bora wangechezea taifa wakaongezaa pesa za viingilio kwenye account yao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
YONDANI anadhan mechi za CAF kuna waamuzi vilaza kama akina Mabena na Kambuzi. Kwa uchezaji wake wa JUDO aache soka aungane na Kaseba
 
Kwa matokeo ya leo Mwinyi hawezi kukwepa maana kajitakia mwenyewe, haiwezekani tunacheza nyumbani na mshambuliaji mmoja,hapana kwahili mzigo wa misumari ni juu yake katuzingua kabisa
 
Bado dakika chache Taifa liingie kwenye aibu Kubwa...
 
Waliofanya mazoezi na professionals wapo arusha wanacheza na singida wametolewa round ya kwanza
Pre season Hawa jamaa walifanya mazoezi na wauza matikiti
Haya ndo matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…