Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhYanga inashinda 3 - 2
Yanga Bariidii Haina Mvuto, Chali Ccm KirumbaPyramid tupeni Raha!
Kocha keshaishiwa mbinuHakyanani timu hii ifumuliwe upya
Bora wangechezea taifa wakaongezaa pesa za viingilio kwenye account yao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sanaChacha anatangaza kiSimba kabisa
Kanikera sana huyo mtangazaji, hana uzalendo hata theluthi....KWISHA HABARI YAO
KWISHA HABARI YAO
Hahahahahahahahah kama na wewe ni Chura KWISHA HABARI YAKO.Kanikera sana huyo mtangazaji, hana uzalendo hata theluthi....
Pre season Hawa jamaa walifanya mazoezi na wauza matikiti
Haya ndo matokeo
Nyie Vyura hamuwezi mpira, nyie mnaweza kuogelea tu pale jangwani. Mpira waachieni simba
Rungu Spray kaua mbu wote Jangwani wagonjwa muhimbili sasa kujiachiaNgapi ngapi huko!