PostGE2025 Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi, Tumuoneeni huruma kiongozi wetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"

Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais dhidi ya mashambulizi ya shutuma mbalimbali hasa kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025.

“Anayepitia mengi namba moja Mheshimiwa Rais. Nchi yetu ilipofungwa yeye kalaumiwa. Nchi yetu ilipopitia mtihani kalaumiwa yeye. Lakini hajalaumiwa mzazi aliomruhusu mtoto wake kwenda kurusha jiwe ama kurusha chupa ya petroli ama kwenda kushambulia, hamna aliolaumiwa. Mpaka saa hivi lawama zote zinakwenda kwake yeye. Sasa jamani wakati mwingine tumwoneeni huruma kiongozi wetu…," alieleza Balozi Kombo.

View attachment 3595987
Wazazi wanalaumiwa kwa lipi? Waziri mzima unataka kupindisha narrative?

Nani ali authorize kutumia live round kwa una armerd protestors?
 
Kwani nani kamwambia waliokufa ni watoto wadogo tu!?
 
20260423_150034.jpg
 
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Duuh!!! Kwahiyo Kiranga hapa Kombo anasema wazazi wa vijana wanalaumu kwa sababu vijana wao wamepigwa virungu au wamepigwa risasi!?
 
Wazenji haoo
 
Anavyo watungia Kesi za uongo wapinzani wake ana washirikisha wabunge, anavyo wateu anaowataka, ana washirikisha wabunge,
 
Nasema Kombo hajatumia neno risasi, kasema attack.

Kama katumia neno risasi, weka hiyo video.

Nasema kuna mengi ya kumshitaki Kombo bila ya kutumia neno ambalo hajalisema kwa kutunga neno la tafsiri zetu tu.

Kombo hajasema neno risasi.
 
Anavyo watungia Kesi za uongo wapinzani wake ana washirikisha wabunge, anavyo wateu anaowataka, ana washirikisha wabunge,
Kwa hiyo na nyie mmejishusha kuwa level kama yake?

Yeye anatunga uongo, na nyie mnatunga uongo?

Kama hivyo, mna tofauti naye gani sasa?
 
Nasema Kombo hajatumia neno risasi, kasema attack.

Kama katumia neno risasi, weka hiyo video.

Naaema kuna mengi ya kumshitaki Kombo bila ya kutumia neno ambalo hajalisema kwa kutunga neno la tafsiri zetu tu.

Kombo hajasema neno risasi.
Kuna njia tofauti ya police ku attack tofauti na kutumia risasi?
 
Ilikuaje hii nchi tukawa na waziri wa kimataifa kilaza kama huyu!
Mlivyompata Samia kuwa rais ndiyo mmempata huyu.

Kombo alikuwa Naibu wa Samia serikaki ya Mapinduzi Zanzibar.

Vyeo watu wanapata kwa utiifu, kujuana na uchawa, si kwa uwezo.

In fact ukiwa na uwezo utaanza kuhojihoji na kusema ukweli, utashindwa utiifu na uchawa, watakufukuza.

Huelewi wapi?
 
Wazazi wanalaumiwa kwa lipi? Waziri mzima unataka kupindisha narrative?

Nani ali authorize kutumia live round kwa una armerd protestors?
Kwanza tu kufikiria walioandamana ni watoto waliokuwa wanasubiria idhini ya wazazi wao au wangezuiwa na wazazi wao ni ujinga mtupu
 
Huyu Waziri Kombo kumbe ni mpumbavu kiasi hiki,yaani wazazi ambao wamepotezq watoto wao tena wengu wakiwa majumba I na maeneo ambayo hayakuwa na vurugu walaumiwe kwa kosa gani? Hivi hawa Wazanzibari wanatuonaje sisi Watanganyika? Samia naye kwenye hotuba ya kw ya kwanza baada ya mauaji haya ya halaiki alisema kwanini wazazi hawakuwazuia watoto wao kutoka nje, CCM hebu tuondoleeni huu ujinga wa kuweka Mzanzibari aitawale Tanganyika ilihali wao wana nchi yao .
 
Back
Top Bottom