Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Zipo.Kuna njia tofauti ya police ku attack tofauti na kutumia risasi?
Kuna baton, kuna appropriate force without using live bullet, kuna rubber bullets, kuna teargas, kuna pepperspray, kuna water cannon, kuna njia kibao.
In fact, moja ya criticism kwa vyombo vya dola Tanzania ni kwamba vimetumia live bullets bila kutumia njia hizi ambazo zingeweza kutuliza watu bila kuwaua.
Badala ya kuwapiga watu mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya washawasha, wameua watu.