PostGE2025 Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi, Tumuoneeni huruma kiongozi wetu

PostGE2025 Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi, Tumuoneeni huruma kiongozi wetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni vizuri unejiwahi kusema kwamba hujui sana Kiingereza.

Kwa sababu ukichoandika hapa kinaonesha hilo ni tatizo kwako.

Zaidi, naona dhana nzima ya "appropiate use of force" kwa Polisi Tanzania ni ngeni sana.

Yani Watanzania wengi wakisikia "attack" wanajua Polisi anafyatua risasi ili aue tu. Hata rubbwr bullet wanaona hazitumiwi.

Na hili nalo linaweza kusababisha kutoelewana.
Nimechukulia muktadha aliokuwa anaongelea pia huyo Kombo mwenyewe kwa sababu mjadala mkubwa kwa Tanzania kwa yaliyotekea October 29 sio watu kudhibitiwa bali ni mauaji makubwa yaliyotokea.
 
Sikupangii, nakwambia Kombo hakusema neno risasi.

That is a fact.

Na Kombo ana mambo mengi ya kumshitaki na kumkuta na hatia.

Huhitaji clickbait ya neno "risasi" ili kumtia hatiani.

Unampa Kombo msemo tu kwamba wewe ni mzushi umesema kasema risasi wakati hajasema.
Unaelewa kitu kinaitwa mkutadha(context) ?
Au elimu pekee unayoijua wewe ni materialistic philosophy!?
Kombo akisema akisema vijana walirusha mawe polisi waka attack Oct 29 wewe unapata picha polisi wali attack kwa virungu au risasi!?
 
Nimechukulia muktadha aliokuwa anaongelea pia huyo Kombo mwenyewe kwa sababu mjadala mkubwa kwa Tanzania kwa yaliyotekea October 29 sio watu kudhibitiwa bali ni mauaji makubwa yaliyotokea.
Sasa kama mtu kashaua tayari, kwa nini watu wanaanza kumtungia maneno yaliyo subjective, whether by "attack" he means shoot to kill, shoot, use excessive force or use appropiate force wakati mtu kashaua tayari?

Una solid case tayari, Kombo kaua, Kombo kazima mtandao, kaenda Al-Jazeera kasema mwenyewe kwamba kazima mtandao.

Kwa nini unajisikia haja ya kuweka neno risasi ambalo hajasema, kuhusiana na mauaji ambayo yanaweza kufanyika au yanaweza yasifanyike, ili kuonesha Kombo muuaji?

Kwa nini tunaungaunga maneno na kupachika neno risasi ambalo Kombo hajalisema, tunapata tafsiri ya utata ya kuonesha Kombo ni muuaji, wakati Kombo ni muuaji tayari bila ya kuhitaji maneno ya kuungaunga kwa utata?
 
Unaelewa kitu kinaitwa mkutadha(context) ?
Au elimu pekee unayoijua wewe ni materialistic philosophy!?
Kombo akisema akisema vijana walirusha mawe polisi waka attack Oct 29 wewe unapata picha polisi wali attack kwa virungu au risasi!?

Muktadha maana yake utunge hadithi yako?

Kombo kasema vijana walirusha mawe polisi waka attack?

Weka hivyo clip hapa.
 
Wewe kwenye hiyo crip umeelewa attack ni virungu au nini kwa mtazamo wako, sisi tumeelewa risasi wewe tuambie umeelewa nini by attack

Crip ni nini?

Wapi nimesema nimeelewa attack ni virungu?

Weka hiyo nukuu hapa.

Wewe hujui kusoma kwa ufahamu tatizo.

Hata tofauti ya clip na crip hujui.

Na hapo ndipo kuna tatizo.
 
Crip ni nini?

Wapi nimesema nimeelewa attack ni virungu?

Weka hiyo nukuu hapa.

Wewe hujui kusoma kwa ufahamu tatizo.

Hata tofauti ya clip na crip hujui.

Na hapo ndipo kuna tatizo.
Wewe tueleze umeelewa nini kauli yake hizo technicalities za kitoto achana nazo
 
Wewe tueleze umeelewa nini kauli yake hizo technicalities za kitoto achana nazo
Mimi naelewa wewe hujui tofauyi ya clip na crip, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Clip unaita crip. Mpaka hapo tu red flag.

Hujui kusoma kwa ufahamu, ndiyo maana hatuelewani.

Pia, unanyanyapaa watoto kiutamaduni wakati watoto wana uwezo mkubwa wa kutufundisha mambo mengi.

Pia, huna nuance, hupendi nuance unaziita technicalities. Wakati hizo ndiyo zinaweza kukuponya au kukuua sehemu nyingi.

Hatuwezi kuelewana.

Hujui kusoma kwa ufahamu, tutaelewana vipi hapa JF tunawasiliana kwa kuandika na kusoma?

Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.

Sioni point ya kujibizana nawe, hujafikisha viwango.
 
Hivyo viwango wapelekee wajinga wenzio
 
Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"

Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais dhidi ya mashambulizi ya shutuma mbalimbali hasa kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025.

“Anayepitia mengi namba moja Mheshimiwa Rais. Nchi yetu ilipofungwa yeye kalaumiwa. Nchi yetu ilipopitia mtihani kalaumiwa yeye. Lakini hajalaumiwa mzazi aliomruhusu mtoto wake kwenda kurusha jiwe ama kurusha chupa ya petroli ama kwenda kushambulia, hamna aliolaumiwa. Mpaka saa hivi lawama zote zinakwenda kwake yeye. Sasa jamani wakati mwingine tumwoneeni huruma kiongozi wetu…," alieleza Balozi Kombo.

Mimi nawalaumu wazazi wote wa viongozi wa sasa wa Tanzania kwa kutowafundisha watoto wao wanaotuongoza leo adabu.

Hapo vipi?
 
Zipo.

Kuna baton, kuna appropriate force without using live bullet, kuna rubber bullets, kuna teargas, kuna pepperspray, kuna water cannon, kuna njia kibao.

In fact, moja ya criticism kwa vyombo vya dola Tanzania ni kwamba vimetumia live bullets bila kutumia njia hizi ambazo zingeweza kutuliza watu bila kuwaua.

Badala ya kuwapiga watu mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya washawasha, wameua watu.
Hiyo inakuwa kujilinda au kutuliza ghasia, kutawanya waandanamaji kama sio Hali ni na sio Ku attack
 
Hiyo inakuwa kujilinda au kutuliza ghasia, kutawanya waandanamaji kama sio Hali ni na sio Ku attack
Kwa definition gani ya attack?

Una PGO definition ya attack inayosema hivyo?

Kwa nini ku attack raia kwa virungu na hayo mengine yote niliyoyataja isiwe sehemu ya kutuliza ghasia?

You are introducing a false dichotomy here.

Kwamba it is either attack or kutuliza ghasia.

Wakati attack yenyewe, kwa mfano, ya kutumia rubber bullets, inaweza kuwa sehemu ya kutuliza ghasia.
 
Ku attack ina Manisha Nia yako ni ovu, kujilinda ina maanisha Nia yako ni nzuri
 
Ku attack ina Manisha Nia yako ni ovu, kujilinda ina maanisha Nia yako ni nzuri
Another false dichotomy.

Kwa sababu mtu aliyepigwa kwanza anaweza ku attack kujilinda asipigwe zaidi.

Sasa unapotenganisha kujilinda na attack ni false dichotomy.

Kwa sababu mtu anaweza kujilinda kwa ku attack.
 
Kwa kufanya hivyo wakati kulikuwa hakuna rishi kwako ni Kosa, au tunaweza kusema ni kuchochea ghasia
 
Back
Top Bottom