Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hata sijaelewa umeandika nini hapa. Rishi ni nini?Kwa kufanya hivyo wakati kulikuwa hakuna rishi kwako ni Kosa, au tunaweza kusema ni kuchochea ghasia
Hata sijaelewa umeandika nini hapa. Rishi ni nini?Kwa kufanya hivyo wakati kulikuwa hakuna rishi kwako ni Kosa, au tunaweza kusema ni kuchochea ghasia
HatarishiHata sijaelewa umeandika nini hapa. Rishi ni nini?
Lakini hatujasema scenario ya kutikuwa hatarishi.Hatarishi
Zee jinga na la hovyohovyo sana.Anaongea huku anajishika kifua kama mkoma.Matako yake yamepauka.Kombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"
Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje, jana Mei 26, 2026, Balozi Mahmod Kombo amewataka Wabunge kumlinda Rais dhidi ya mashambulizi ya shutuma mbalimbali hasa kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025.
“Anayepitia mengi namba moja Mheshimiwa Rais. Nchi yetu ilipofungwa yeye kalaumiwa. Nchi yetu ilipopitia mtihani kalaumiwa yeye. Lakini hajalaumiwa mzazi aliomruhusu mtoto wake kwenda kurusha jiwe ama kurusha chupa ya petroli ama kwenda kushambulia, hamna aliolaumiwa. Mpaka saa hivi lawama zote zinakwenda kwake yeye. Sasa jamani wakati mwingine tumwoneeni huruma kiongozi wetu…," alieleza Balozi Kombo.
Sio hiyo ya kukosa au kujua kuhusu kutumia nguvu kufuatana na Jambo lenyewe. Kwani hiyo ndio inaitwa "standard practice" hata wewe na Mimi ikitokea kutunishiana misuli watu wataangalia mazingira na nguvu iliyotumika, na nemo "reasonable force" ni neno linalotumika.Lakini hatujasema scenario ya kutikuwa hatarishi.
Suala ni kwamba attack inaweza kuwa ni response to an action, na haihitaji kuwa risasi.
Nimegundua Watanzania hawaelewi dhana nzima ya proportionate use of forve. Wakisikia attack wanaona polisi anafyatua risasi.
Which can be due to their exowrience.
But that is not what attack means.
Attack can be by batons, or water canons, or rubber bullets, or tear gas canisters, with proportionate force. In response to an act by a frenzied public.
Ila naelewa uzoefu wa watu kuuawa na Polisi umeondoa fairness hata kwenye fikra tu, everybody is extra jumpy. And I can understand that.
But that does not mean attack means shoot to kill.
Kwani Ilikuwaje hii Nchi ikawa na head of the state kilaza ??Ilikuaje hii nchi tukawa na waziri wa kimataifa kilaza kama huyu!
Hili swali huwa linakwepwa kama wanaaga maitiWazazi wanalaumiwa kwa lipi? Waziri mzima unataka kupindisha narrative?
Nani ali authorize kutumia live round kwa una armerd protestors?
Rais ni kilaza wa kutupwa sasa kwanini ushangae kuwa na waziri wake ambaye ni kilaza mwenzake.Ilikuaje hii nchi tukawa na waziri wa kimataifa kilaza kama huyu!
Mimi hata siongelei yaliyotokea October 29. That was beyond the pale.Sio hiyo ya kukosa au kujua kuhusu kutumia nguvu kufuatana na Jambo lenyewe. Kwani hiyo ndio inaitwa "standard practice" hata wewe na Mimi ikitokea kutunishiana misuli watu wataangalia mazingira na nguvu iliyotumika, na nemo "reasonable force" ni neno linalotumika.
Sasa kwa yaliotokea 29 na kuendelea , ilikuwa ni reasonable force ? Ilikuwa ni rubber bullets ?
Sasa anachoongelea Kombo ulio mrejea ni hiyo 29 na baada ya hapo kuhalalisha hivyo vifo na kwa ujumla wake, na kumuonea huruma Chamia, kwa lawama anazopataMimi hata siongelei yaliyotokea October 29. That was beyond the pale.
Inaonekana hatuelewani.
Is it possible to pick a narrow point and make an abstract point, from what Kombo said?Sasa anachoongelea Kombo ulio mrejea ni hiyo 29 na baada ya hapo kuhalalisha hivyo vifo na kwa ujumla wake, na kumuonea huruma Chamia, kwa lawama anazopata
kama hataki kulaumiwa si asepe zake kizimkaziKombo: Rais Analaumiwa Wazazi Hawalaumiwi— "Tumuoneeni huruma kiongozi wetu"