So yeye anaweza kula sumu yake pasi kudhurika?Yani huyu akishang'ata tu kazi imekwisha. Unaweza kusavaivu tu zile dakika 2 za mwanzo. Baada ya hapo wewe ni kitoweo chake. Haijalishi umeshakufa au bado, utaliwa tu kiubabe. Farasi na ukubwa wake wote, alipigwa jino moja tu. Baada ya dakika tatu akaanza kuliwa nyama huku anajiona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binadamu ni ultimate predator,sababu ya uwezo WA akili tukiamua tuwauwe Simba wote tunaweza ,pahala popote binadam akiweka makazi wanyama wanakula Kona,habari yeti wanayo
Kabisa. Alaf anaweza kumla mishikaki komodo ni swala la kuwahiana tu.Mnyama hatari duniani ni binadamu tu asipowekewa mipaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umemchanganya na 'sorokoto' mzee.
Likila sumu yake halidhuriki, ndo maana yenyewe yanaweza kutwangana yakang'atana na kuumiza lkn hakuna atakaedhurika na sumu ya mwenzake.So yeye anaweza kula sumu yake pasi kudhurika?
Mkuu ukiyachukua haya madubwasha 10 ukaenda kuyaweka kwenye pori wanaloishi fisi, baada ya miezi 6 ukirudi hautokuta fisi wala mavi ya fisi.Shenzi sana ndio maana siwapendagi fisi
Ng'ombe pole aka nyatiUnamjua Mbogo wewe?
Yah huko ndio kwao sasa. Hii habari ya afrika magharibi haikuwa na uhalisia.
Vipi akikutana na mamba ,maana mamba ana ngozi ngumu
Yuko kama kenge mkubwa
Usijidanganye hapo. Hawa jamaa Wana mbio sana kuliko binadamu japo ni Kwa muda mfupi (hawana pumzi). Akiwa mbali na wewe unaweza ukapona kama utajitahidi ila akikumemdea akakukaribia na kukukimbiza basi jikabidhi tu Kwa muumba.Na huo uchibongo wake ananikutia wapiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesha pararaizi tayariNitamnyonga huyo boya tufe wote kmmmk