Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Mkuu hii comment gharama za lamination niachie mimi
 
kamba
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.
 
🀣🀣🀣 Sema maelezo ya google hayapishana sana na maelezo ya thread au sio mkuu?
 
Nilikuwaa naangaliaa hayo makomondo mbona wazungu wanacheza nayoo kwa ukaribu mnoo iwapiii hiii hatarii mnayoisema
Binadam tumepewa uwezo huo, ndio maana kuna watu wanamiliki mpaka mashetani na majini ndan ya nyumba zao. So sembuse mnyama mkuu?
 
Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.
Ingia youtube mkuu andika "komodo dragon attack" utapata unachotaka kukijua mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.

Kuna aina nyingine liko kama hilo hilo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…