Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii comment gharama za lamination niachie mimiDah uongo uliopitiliza komodo hana sumu. Ila mate yake yamejaa bacteria na hii imesababishwa na uchafu wa kinywa chake. So akikuuma anakuachia bacteria ambao watakushambulia na itachukua muda kufa na si kwa dkk 3 au 5 ni zaidi ya masaa kadhaa. Acha uongo
Kenge huyo.... Sio huyo mdudu !!Niliwahi mkuta kichakani nikamkimbiza huku mkononi nimeshika ndala moja alitoka baru hadi akaingia shimoni
kambaUsijidanganye hapo. Hawa jamaa Wana mbio sana kuliko binadamu japo ni Kwa muda mfupi (hawana pumzi). Akiwa mbali na wewe unaweza ukapona kama utajitahidi ila akikumemdea akakukaribia na kukukimbiza basi jikabidhi tu Kwa muumba.
Tuongee statistics/ facts.... Average speed ya mwanaume ni 13kph, mwanamke ni 10kph. Sasa komodo anafika top speed ya 20kph. In short sio rahisi Kwa mtu kumshinda mbio huyu jamaa
ok poa poa mkuuMkuu Red Devils kama una muda kidogo pitia comments hizo za mashuhuda wengine. Afu upime na kile nilichoandika kama utaona tofauti.
Soma post namb #5 , #33 na #293
Ukweli ni kwamba hilo dubwasha lipo duniani kwa ajili ya kuuwa na kula viumbe wengine.
Full stop.
Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
🤣🤣🤣 Sema maelezo ya google hayapishana sana na maelezo ya thread au sio mkuu?Huyu jamaa na uzi wake amefanya nihangaike na huyu kenge tangu asubuh[emoji16]
Nimetoka kugugu tena, kwa anavyochanganya haraka ukashtuka ukamkuta karibu yako less than 10 feet basi umeisha, labda uwe una mbio kwelikweli uchomoke kama mshale. Ila zaidi ya hapo unamtoroka vzuri tu.
Binadam tumepewa uwezo huo, ndio maana kuna watu wanamiliki mpaka mashetani na majini ndan ya nyumba zao. So sembuse mnyama mkuu?Nilikuwaa naangaliaa hayo makomondo mbona wazungu wanacheza nayoo kwa ukaribu mnoo iwapiii hiii hatarii mnayoisema
Nina imani umepitia zile post nlizokwambia ukajifunza kitu mkuu.ok poa poa mkuu
Ingia youtube mkuu andika "komodo dragon attack" utapata unachotaka kukijua mkuu.Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.
Huyo mnyama ni hatari sana nimeziona hizo post ulizosemaNina imani umepitia zile post nlizokwambia ukajifunza kitu mkuu.
Tatizo limenzia pale sifa nyingi ulizompa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema maelezo ya google hayapishana sana na maelezo ya thread au sio mkuu?
Mimi nazungumzia Godzilla.Ingia youtube mkuu andika "komodo dragon attack" utapata unachotaka kukijua mkuu.
kwani hana hizo sifa. Unamuonea wivu hadi mnyama?Tatizo limenzia pale sifa nyingi ulizompa[emoji16][emoji16]
Nimempa sifa baada ya kuona wazungu wamemnyima sifa zake stahiki katika Big 5 ya wanyama wakali na hatari, kisa tu kwa vile hakuwahi kupatikana kwao ulaya 😂😂🤣🤣Tatizo limenzia pale sifa nyingi ulizompa[emoji16][emoji16]
Ok, hilo Godzilla nafikiri lilikuwepo miaka mingi iliyopita. Kwa sasa wanapatikana hawa komodo kama new model wao 😂😂Mimi nazungumzia Godzilla.
😂😂😂kwani hana hizo sifa. Unamuonea wivu hadi mnyama?
Huyo alikua kenge[emoji137][emoji137][emoji3601] Acha chai
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
Wataalam wanasema ana meno madogo madogo aina ya msumeno, lkn yamejificha ndan ya ufizi wake.