Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Dah uongo uliopitiliza komodo hana sumu. Ila mate yake yamejaa bacteria na hii imesababishwa na uchafu wa kinywa chake. So akikuuma anakuachia bacteria ambao watakushambulia na itachukua muda kufa na si kwa dkk 3 au 5 ni zaidi ya masaa kadhaa. Acha uongo
Mkuu hii comment gharama za lamination niachie mimi
 
Usijidanganye hapo. Hawa jamaa Wana mbio sana kuliko binadamu japo ni Kwa muda mfupi (hawana pumzi). Akiwa mbali na wewe unaweza ukapona kama utajitahidi ila akikumemdea akakukaribia na kukukimbiza basi jikabidhi tu Kwa muumba.

Tuongee statistics/ facts.... Average speed ya mwanaume ni 13kph, mwanamke ni 10kph. Sasa komodo anafika top speed ya 20kph. In short sio rahisi Kwa mtu kumshinda mbio huyu jamaa
kamba
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.
Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.
 
Huyu jamaa na uzi wake amefanya nihangaike na huyu kenge tangu asubuh[emoji16]
Nimetoka kugugu tena, kwa anavyochanganya haraka ukashtuka ukamkuta karibu yako less than 10 feet basi umeisha, labda uwe una mbio kwelikweli uchomoke kama mshale. Ila zaidi ya hapo unamtoroka vzuri tu.
🤣🤣🤣 Sema maelezo ya google hayapishana sana na maelezo ya thread au sio mkuu?
 
Nilikuwaa naangaliaa hayo makomondo mbona wazungu wanacheza nayoo kwa ukaribu mnoo iwapiii hiii hatarii mnayoisema
Binadam tumepewa uwezo huo, ndio maana kuna watu wanamiliki mpaka mashetani na majini ndan ya nyumba zao. So sembuse mnyama mkuu?
 
Msiniambie kwamba mnaamini kwamba huyu mnyama yupo kweli, maana nitasikitika kupoteza muda wangu kwenye huu uzi.
Ingia youtube mkuu andika "komodo dragon attack" utapata unachotaka kukijua mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Nshalijua linaitwa Godzilla. Lile ni kiboko aisee. Mkuu lile linatema moto, na kama likitoa ushuzi basi mvuke wake unaweza kuivisha chakula au kukausha nguo zilizoanikwa.

Kuna aina nyingine liko kama hilo hilo pia
 
Back
Top Bottom