Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Hawa Komodo Dragons ni moja wapo ya aina ya wanyama ambao wako hatarini kupotea duniani. Wamebaki wachache sana.
 
Ok mkuu, lkn comodo ni hatari zaidi kwa viumbe wengine kulikoni nyoka.

Yea ni hatari Ni mnyama anaeua kikatili mno.. swala la Kumla kiumbe mwenzie wakat bado akiwa hai.. its beyond cruelty.. na ana kasi na nguvu.. powerfull jaws

Na hawana hisia za uoga.. yaan wao chochote chenye uhai anataka kukigeuza asusa.. hata kama anayetaka kumgeuza ausa naye ni predator na kuna hatar ya yeye kuuawa hilo halimhusu

Na zaid ya yote mara nyingi wanakuwa group kati ya wa tatu hadi kumi
 
Kwa wasiokijua vizuri kiingereza watakiamini, huyu ni hatari kweli ila hatari yake ni ya kawaida sana sio kama ulivyomkuza.
 
Huyu ni mjusi ambaye anaweza kupigwa na fisi asipovizia akang'ata au akampiga na mkia. FISI huyu huyu anayepiga yowe akishtuliwa.

"The hyena has a stronger bite force and sharper claws than the Komodo, also the hyena is faster and more agile than the Dragon."
However,
The komodo dragon has bacteria that could kill animals in a few hours, so if the hyena gets bitten it will die. It also has a strong tail that could trip the hyena and then kill the hyena. The komodo could ram the Hyena and break its Bones."
 
Hiwa naona video zake linavyomeza mnyama mwingine kibabe aise.
Hilo linammeza hadi kasa na jumba lake.
Halina huruma na kiumbe yoyote hapa duniani. Linalotaka lenyewe ni kujaza tumbo lake tu.
 
Huyu Komodo haliwi kweli, maana wachina wanakula karibia kila kitu
Mchina pamoja na kula kila kiumbe, lkn kwa Comodo hawezi kufikiria kucheza na maisha yake. Anajua akimla ndio itakuwa mwisho wake wa kuishi mkuu.
 
Hili mbona pole tu mkuu. Mamba ananyumbuka balaa akikuweka kwenye 18 zake hutoboi. Huyu Dragon hata kumkimbia unaweza ila usiwe kwenye straight line. Ukimbie huku unachenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…