Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Ni kweli boss. Ila ukiwapima interms of ujasiri huyu huwezi mlinganisha hata na pitbull wa nyumbani. Ni mwoga.. Mara nyingi mnyama anayemvizia akimuona basi haendi anajifanya hana njaa. Tofauti na hao ukiowataja.
 
Ni kweli boss. Ila ukiwapima interms of ujasiri huyu huwezi mlinganisha hata na pitbull wa nyumbani. Ni mwoga.. Mara nyingi mnyama anayemvizia akimuona basi haendi anajifanya hana njaa. Tofauti na hao ukiowataja.
Yah huyu hana ule ujasiri wa kumkabili kiumbe face2face, but akishakulia timing na kuingia kweny 18 zake, basi tena unakuwa kitoweo chake.
 
Mungu wangu kiumbe gani tena hiki?
Huyo anaitwa Komodo dragon AKA Godzilla. Jamaa anakula yoyote anaeingia kweny 18 zake. Haijalishi ukubwa, ukali wala ujasiri wa mnyama.
Yani hata wanyama hatari kama Simba, Tiger, Kifaru na wengine wa aina hiyo wakiingia 18 ya huyo mwamba wanaliwa huku wanajiona.
 
Hana anti venom ila sumu yake sio hatari sana kuwa huwezi kupona, unaweza kupona kwa kutreat zile symtoms
Umeongea kitaalamu mkuu. Mimi nilicomment kwa kuangalia matukio ya huyu mnyama kwenye madocumentaries.
 
Uyo si kama kenge tu , ila uko Asia wanamwita komodo dragon, ndo aneanza kila tumboni vitu vilaini
Mkuu kenge ndugu yake wa kweli ni mamba maaana wote wanaishi majini na nchi kavu. Ni kama paka na ndugu yake chui.

Ila hili dubwasha kwenye kenge halipo, kwenye mamba halipo, kwenye mjusi wa kawaida halipo, yani ni limnyama la aina yake japo kiumbo linamfanano kama ule wa mjusi, kenge nk. Kenge anaitwa lizard na hili dubwasha linaitwa Komodo dragon. Kenge anatumia mkia katika kushambulia, wakati hili dubwasha linatumia mdomo wake kushambulia. Yani likishakupiga jino hata 1 tu umeondoka duniani, na haijalishi ni Simba, mamba au tembo lazima ataanguka na kuja kuliwa na mnyama huyu kiwepeesi kabisa bila shida huku anajiona anavyoliwa.
 
Anapatikna wapi tumle supu!
 
Ni kawaida ya mnyama yoyote mjanja na hatari kujifanya mzembe ili ujae kwenye 18 afu ndo akuoneshe kuwa yeye sio mzembe kama alivyomaanisha. Hujawahi kuona nyumbu wanapita karibu na simba huku simba sometimes akijifanya hana habari nao. Ila baada ya muda yule nyumbu anaesogea ili kuhakikisha kama kweli simba amelala au anapunga upepo ndo huvamiwa kwa ambush kali na baadae kuangamizwa kabisa na simba.
Sema lizembe zembe ....so unaweza kuliescape tofauti na koboko au predator anayekuvizia
 
Mkuu fisi anauma wanyama wenzake na wale wanaofanikiwa kukimbia hukimbia na kuponea mbele ya safari.
Pili fisi na Simba au leopard wanaweza kugombania mzoga mmoja kata na mimi nikate na kila mmoja akawa fresh tu.
Ila nyama inayoliwa na Komodo akija mnyama mungine kuila basi anakwenda na maji, kamwe hawezi kuendelea kuishi.

Huyu akimpiga Simba, Chui, Buffalo au mnyama yoyote hata jino moja tu basi kwisha habari yake. Anaweza kutembea mwendo mfupi na kuanguka kama gunia. Afu mzee wa kazi anakuja kumla nyama mzima mzima kabla hajakata roho. Kama alieng'atwa ni dume basi mara nyingi anaanza kutafuna zile gololi mbili kwanza, afu ndo anahamia sehem zingine za mwili. He don't give a f*** about any animal hapa chini ya jua. Chochote au yoyote aliepo mbele yake anapitia tu.
Anamzidi fisi kwa bacteria mdomoni?
 
Huyu Komodo ni hatari kwa aina yake lakini huwezi kumlinganisha na wanyama hatari kama kiboko, simba, chui au mamba

Ukikutana ana kwa ana na wanyama hao tajwa hapo juu chance yako kutoboa ni ndogo sana maana wanakuona wewe kama kitoweo chao lakini ukikutana na komodo ana kwa ana chance yako ya kutoboa ni 99% kwa sababu komodo hakuoni wewe kama kitoweo bali adui hapo basi atakimbia au kuendelea na shughuli zake nyingine

Komodo hana speed wala flexibility wala timing au means yoyote ile ya kuleta uhatari kwa binafamu ndio maana hata diet yake ni wadudu wadudu, vindama vilivyozaliwa na mara chache sana manyumbu yaliyonasa kwenye matope

Ana sumu kali kweli na blablabla nyingi ila hana huo utukufu uliompa wewe
 
Huyu namwogopa hata kumwangalia kwenye tv yaan anakujeruhi kidogo tu ili mradi meno yake yagusane na dam yako. Anakuwa anakufuatilia kwa mbali hadi hapo utakapomaliza nguvu na kuanguka atakaa hapo anakula hata kwa siku nne mpaka akumalize
 
Bila shaka unamzungumzia Lizard sio real Komodo Dragon mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…