Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Labda Michael Jackson anayejulikana na kupendwa dunia nzimaTatizo la Konde boy na crew yake wamewekeza sana akili na nguvu zao kushindana na WCB kuliko hata kuendeleza wasanii wao!! Mpaka wamekosa akili kabisa juu ya vitu vingine!! Hii ni aibu kubwa sana aisee daah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Il maroboti yako chapu kuangalia nyie [emoji23]
Yanamaliza video ya dakika 3 kwa sekunde 20 na yako milioni [emoji23]
Yaoyao, jeseeeeeeshiiiiiiiiiikoh koh koh a go dai for yuu ma baibe
Iyo ngumu kumeza inaitwaWazee Hii kwenye betting odds tunaitaje? [emoji1787][emoji1787]