Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

Tatizo la Konde boy na crew yake wamewekeza sana akili na nguvu zao kushindana na WCB kuliko hata kuendeleza wasanii wao!! Mpaka wamekosa akili kabisa juu ya vitu vingine!! Hii ni aibu kubwa sana aisee daah.
 
Labda Michael Jackson anayejulikana na kupendwa dunia nzima
.
Otherwise Kuna booster za viewers
 
Il maroboti yako chapu kuangalia nyie [emoji23]
Yanamaliza video ya dakika 3 kwa sekunde 20 na yako milioni [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imebidi nicheke tu. Ni kama ule uchaguzi mkuu uliopita, eti fisiemu walishinda majimbo yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo watz bhana
 
Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo huku anasoma comments zenu akila mafegi kho!! Kho!! Kho!!
 
Kwa uhalifu huu, Konde Gang haina tofauti sana na Cosa Nostra, Yakuza, Aryan Brotherhood na Wah Ching. Hawa Konde Gang wachunguzwe aisee.
 
Back
Top Bottom