Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

Tatizo sio madhara kwa Japan na South Korea. Tatizo kubwa linalofanya USA asichukue hatua ni sababu ya RUSSIA and CHINA hawako tayari marekani au kibaraka wa marekani achukue eneo lililopo mpakani na nchi zao.

It's a matter of national interest hapa.

We unafkiri kwa nini israe kila siku ana shambulia Iranian target kule Syria??
 
Watu hawajamuamulia tu, in a full-scale war North Korea haidumu hata wiki.
Hata siku Tatu nyingi mkuu.

Nchi ikiwa katika sanctions Inakua dhaifu, sasa bora Iran ameweza bypass sanction za marekani kwa kutumia Iraq, turkey na nchi nyingi bila USA kujua Hilo, pia vikwazo vya Iran vilikua vinawekwa na kuondolewa.

Sasa n. Korea yeye yupo ktk sanctions miaka yote, tena sio sanction ni embargo ile yaani wananchi wako desperate very week nakumbuka mpaka wanajeshi wa n. Korea huwa wanatoroka mpakani kukimbilia South Korea kwa ugumu wa maisha.
 
Vita ya USA na Vietnam ingekua rahisi kama USSR asingeisaidia Vietnam.
 
Ile vita ilikua China, USSR ndo walimzuia USA sio n. Korea mkuu.

Una ushahidi gani kwamba Urusi iliwahi kupeleka wanajeshi wake huko Korea Kasikazini kusaidia K.kaskazini kupigana na majeshi ya USA, repeat, USSR never put boots on the ground in North Korea, never.

However, ni kweli China ilitoa msaada ikashirikiana na majeshi ya Korea Kaskazini kupigana na majeshi ya USA na washirika wake, lakini ukweli wa mambo hiyo si hoja sana kwa kuwa hata Majeshi ya USA yalikuwa yanashirikiana /saidiwa na majeshi ya Australia, NewsLand na Uingereza kupigana na majeshi ya Korea Kaskazini, USA was never alone.
 
Vita ya USA na Vietnam ingekua rahisi kama USSR asingeisaidia Vietnam.

Ilisaidia nini zaidi ya kuwapatia /kuwauzia silaha - walio pigana ni WavietNam wenyewe, that is the point, mbona Mataifa ya kiarabu yana silaha nyingi za kisasa lakini mara zote Waisrael uwashinda Waarabu kutokana na Waarabu kukosa ujasiri wa kupigana - bottom line is: Weapons are nothing kama huna moyo na ujasiri wa kupigana.
 
Yale ni ma toy tu hakuna kitu mle.Hawana huo uwezo.
 
Huyu nae afanye shughuli zingine sasa.kila Siku anaonesha makombora utadhani yanaliwa.
 
Embu nenda Korea kamwambie usoni hivyo bwana Kim ..halafu yey atakuonyesha kama ni real au fake ..ila ukiondoka aga nyumbani kabisa kua haurudi tena
🤣🤣🤣 Sio kuaga tu kama anavyo vya kurithia pia avitowe , daa dekii ile fupi c mchezo amerika kamaliza hisabu zote .Unajua mtu akiwa mbabe na akisha zeeka basi utasikia mimi hunijui uliza wenzako zamani ndio US.
 
Nakukubali sana bro Unaongea kitu na box yake ,hapa kuna watu wanaongea Fumba tu ,hawajui kama ulimwengu unabadilika kwa mfano tu US pale Las Vegas ndio kitovu cha kamari na strehe wkt chinese katengeneza kubwa kushinda ile ya US ipo Macau.
 
Tatizo unajaza silaha wakati wananchi hawana huduma muhimu.
 
Shabash mzee nakubali tunaenda kifkra sana sana bravo ,watu bado wako ktk ndoto za Ali Nacha hawangalii dunia.
 
Nakuhakikishia ingekuwa hivi wazungu wangeshaivamia NK, wangemkamata Kiduku na kumchapa viboko hadharani
Kuna kanuni na sheria za vita eti! Huwa hawajiendei tu kienyeji kama huko Tanganyika!

Sio tu swala la kumkamata Kiduku na kumcharaza mboko, lakini pia wanaangalia utaratibu unaotumika na maslahi mapana ya nchi.

Huwezi tu kuvamia nchi kijeshi kwa sababu unajisikia au kwa sababu una nyenzo madhubuti za kivita. Kuna protocals.

Utatengeneza international legal crisis! Na kuna madhara yake!

Mimi sio mjuzi wa vita lakini siamini kama marekani ameshindwa kumshughulikia kiduku!

Who knows? hata hiyo Pyongyang huenda iko infiltrated na majasusi wanaokula na kiduku mezani.

Wanamchezea tu lile duku lake la kichwa huku wanamng'ong'a kwa nyuma.

Watu sio wajinga kiasi hicho aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…