maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na huyo kuruti. Hakuna anachoelewa kwenye hizi medaniUnaonesha una utindii wa ubongo.
Russia hapewi msaada popote hizo silaha ananunua,hata zile drone za shaheed kwa Iran alinunua.
Japo hayo mabomu ya N.Korea sijajua kama kanunua ama kapewa.
Ukraine hapigani peke yake kuna askari wamepenyezwa wa USA,UK na France wakipachikwa jina la Mercenaries kumbe ni askari halisi wa hayo mataifa.
Mbona hilo linajulikana na kuna video zilisambaa Kharkiv zikionesha Russia ikiua askari wa kimarekani!?
Au unaishi dunia gani wewe!?
Netanyahu bado mdogo sana kwa Putin labda ungesema kaka yake aliyekuwepo kwenye operation Entebeputin na neta nyahu sanaa za mapigano ndio kitu wanachopenda hawanaga ugomvi mdogo
Soma hapo chini hii ni kauli ya Putin juzi, hiyo ndio miji usema putin amechukua anawaomba Ukraine kwa huruma waondowe majeshi yao aachiwe yeye.,Ukraine hadi sasa hajakomboa hata thumni ya kipande cha ardhi alichobeba Russia.
Unasemaje Russia kafeli!?
bro nilisema wanapenda vita ukiwazingua haya kanusha sasa neta nyahu hapendi vita ila putin ndio anapendaNetanyahu bado mdogo sana kwa Putin labda ungesema kaka yake aliyekuwepo kwenye operation Entebe
Acha mbwembwe za twitter we kijana.Soma hapo chini hii ni kauli ya Putin juzi, hiyo ndio miji usema putin amechukua anawaomba Ukraine kwa huruma waondowe majeshi yao aachiwe yeye.,
View attachment 3018197
Kwa vita inajulikana kuwa Netanyahu mpenda vita.bro nilisema wanapenda vita ukiwazingua haya kanusha sasa neta nyahu hapendi vita ila putin ndio anapenda
watu wako less informed sana halaf wana confidence za ushabiki wa hatari 😁Acha mbwembwe za twitter we kijana.
Katika kikao cha G7 Italy juzi suala la amani ya Ukraine ilijadiliwa.
Vladimir Putin alitoa majibu kuhusu kilichojadiliwa Italy kuhusu amani ya Ukraine akasema yuko tayari kujadili amani kwa masharti mawili;
1)Ukraine iondoe vikosi vyake katika miji ambayo Russia kainyakua.
2)Ukraine itambue kuwa miji aliyoinyakua Russia ipo ndani ya mipaka ya Russia ikiwemo Crimea.
Inamaana Ukraine hajakomboa mji hata mmoja bali ana vikosi vinavyojaribu kuikomboa hiyo miji.
Na Russia kakomaa hatoiachia hiyo miji ambayo tayari kashainyakua kama vipi vita iendelee.
Unakaa unaokoteza mbwembwe za Mitandaoni!?
Yaani na kadegree kako umeshindwa kujua hadi leo kua Russia anapigana na America pamoja na NATO??Unapigana na ukraine unaishiwa artelleries ukipigana na USA
Tulia hujui vitu vingiYaani na kadegree kako umeshindwa kujua hadi leo kua Russia anapigana na America pamoja na NATO??
Kweli elimu ya bongo ni ya kijinga
Tujuze wewe mjuajiTulia hujui vitu vingi
.................... Ambacho wewe unayeuza magimbi hapo Tandale sokoni ndio unayejua na elimu yako ya madrassat ambayo haina hata cheti 🤣🤣🤣🤣😛😛Marekani na West Europe wanatafuta kitu wasichojua madhara yake.
Lala uwahi kanisani kesho asubuhi ukatoe fungu la 10 paroko akagonge mvinyo na kitimoto na warembo..................... Ambacho wewe unayeuza magimbi hapo Tandale sokoni ndio unayejua na elimu yako ya madrassat ambayo haina hata cheti 🤣🤣🤣🤣😛😛
MorogoroSisi afrika tunajiandaa kupeleka meli zetu wapi?
Ndugu unaijua kweli raman ya dunia au unacomment tu?Mkuu Russia na North Korea wana share mpaka toka lini!?
Embu fafanua hili.
Kwa hiyo wewe unaweza kumpangia KIDUKU njia ya kupita? US alishashindwa sasa wewe unayeishi na wachawi huku utaweza kumshawishi KIDUKU?Kwanini atumie meli kusafirisha hizo ammunition wakati Yeye na urusi wana land border na hata Kuna reli inayounganisha hizo nchi mbili?, Au we uliposoma anatuma container ukajua itakuwa Kwa meli.
Nakuonea huruma ww na huyu zezeta mwenzako! Ukiachilia kumilik account JFs hamna mnachojua ni ushabiki tu,Na mm sitak kuongea na nyie sana kwasababu hamna akili👎Mkuu usipoteze muda wako kubishana na huyo kuruti. Hakuna anachoelewa kwenye hizi medani
Mkuu nimeuliza kutaka kujua nipe ufafanuzi.Ndugu unaijua kweli raman ya dunia au unacomment tu?
Safi sana, hivi fomu za kwenda kujiunga na jeshi la kimaangamizi tunazipatia kwa ubalozi upi, Urusi au Korea Kaskazini?Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
View attachment 3017569
Kwa hio tayari Urusi ana upungufu wa mabomu? Urusi kazi anayoKwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
View attachment 3017569