Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

sasa mbona boda boda ndio kaigonga gari , gari ipo kwenye njia yake
 
Duu kampuni yenyewe ishajichokea inatembea jina tuu,
Hilo basi lililochomwa ndio First Class yake.

Polisi nao walikua wapi? Si wapo karibu tuu hapo.
 
Boda boda ni washenzi sana, Kuna jamaa mzungu alikua na demu wake mswazi wanatoka kulewa usiku mida Kama saa 7 sijui alipatana na msala gani na Hawa maofisa mishikaki Huko atokako walikuja mkamata maeneo ya mikocheni demu ndo akiwa dereva. Hallo waliijaa kwa gari mmoja ndo anazozana na mdada dereva wengine wanazunguka zunguka kuiba vilivyoma ndani ya gari lilikua timbwili mpaka nkajua kumbe Kuna PC za mjini Zina nguvu kidemu chembamba boda alikua kimelewa akajalibu kukipiga mtama kikamgomea yeye ndo kikamuweka Punch akayumba nusra ailambe lami. Kilichosaidia kulikua na mobile ya gardaworld security jamaa wakawa wamesogea pale kuwashauri jamaa.

Soln ya Hawa viumbe ukimuhenyeka na gari
1.kama ni usiku au ni mchana na uko sehemu n, uri yenye kuweza kukimbia we sepa kabsa Wana ushirikiano Kama siafu hata Kama hawamjui lazma wampe ushikiano
2.kama huna nafasi ya kukimbia shukaz chini lock gari lako kabsa. Wengi ni wezi wakubwa wakati mnabishana ama mnasubiri trafki wengine hutumia mwanya huo kuiba na pia kua makni na gari lako wanaweza shusha hata engine au battery
3 usipaniki Wala kuonyeaha woga
 
Hao ni waalifu kama waalifu wengine wakamatwe na washtakiwe tabia nyingine sio za kuzivumilia kuna siku watakamata gari la kiongozi na kulichoma.
hao waendesha bodaboda ni wajeuri barabarani hawajali wanaingia barabarani vile wanataka wakipata ajali wanadai wanaonewa na magari inatakiwa wachapwe hasa maana ajali nyingi wao ndio sababu
 


Saibaba na magari yake mabovu kadunduliza kapata namba E wamechoma? Hawa sio watu
 
Ikithibika kwamba bodaboda ndio waliochoma hilo basi nashauri vijiwe vya boda vilivyopo karibu na eneo la tukio wajipe likizo au watafute pahala pengine pa kufanyia shughuli zao kwa muda.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Yani hao wahuni sjui watajificha wapi.
Usiku tu wa leo zaidi ya 50 watatiwa mbaroni.
Na baada ya hapo mji wa korogwe na vitongoji vyake hakuna boda atakayeonekana kitaa.
Wamechukua sheria mikononi ila itawagharimu kwa mda mrefu
 
Mkuu usiombee hivyo hayo majamaa mapuuzi sana sijui yanavutaga bangi? Yanaweza kukudhibiti yakakuchoma pamoja na gari! Kuna jirani yetu mtaa wa tatu yalimpiga mawe mpaka kupelekea kifo chake! Kosa alilolifanya ni kutoa bastola na kupiga hewani baada ya dereva kuchoropoka!
 
Zamani dereva alikuwa anaambiwa heshimu mtu yoyote anaetembea barabarani.Siku hizi madereva hawaheshimu matokeo yake ndo haya.Ajali nyingi za bodaboda huwa zinatokea iweje leo inawezekana kuna kitu.Madereva wa mabasi makubwa pamoja na haraka zenu muwapo barabarani jitahidi kujali watembea kwa miguu na hata pikpik maana huwa nao ni binadamu wengine wanategemewa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…