Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kuna Boda Boda walichona Hiace kule Mbagala kwa Mbiku,aiseee wale Boda Boda familia zao zimebaki kuwa masikini vibaya mno,maana walikamatwa wote na kulipishwa ile Hiace.TUsubiri muindi atundike ndizi kama yule wa costar iliochomwa maji ya chai ikaondoka na wahusika wote
Wewe kama sio dereva hauwezi kuona kero za bodaboda hawa jamaa ni hatari sana na hakuna wanachojua zaidi ya breki na kukanyaga mafuta Tu...ukiona Hadi bungeni nako wameanza kuwa na mashaka dhidi ya bodaboda ujue hapo kuna shidaZamani dereva alikuwa anaambiwa heshimu mtu yoyote anaetembea barabarani.Siku hizi madereva hawaheshimu matokeo yake ndo haya.Ajali nyingi za bodaboda huwa zinatokea iweje leo inawezekana kuna kitu.Madereva wa mabasi makubwa pamoja na haraka zenu muwapo barabarani jitahidi kujali watembea kwa miguu na hata pikpik maana huwa nao ni binadamu wengine wanategemewa pia.
Mi nikitembea na cha moto sipigi hewani, nawalamba tu. Ukiwachekea wanakuua. Kama jirani yako ni kisa kilichotokea Dodoma mwaka jana, namjua huyo jamaa alikuwa mwanajeshi.Mkuu usiombee hivyo hayo majamaa mapuuzi sana sijui yanavutaga bangi? Yanaweza kukudhibiti yakakuchoma pamoja na gari! Kuna jirani yetu mtaa wa tatu yalimpiga mawe mpaka kupelekea kifo chake! Kosa alilolifanya ni kutoa bastola na kupiga hewani baada ya dereva kuchoropoka!
washadakwaHao boda boda nawashauri wakimbie
aisee abiria walishushwa kwa vioo kupigwa mawe na baadhi ya vitu vya abiria vilibebwa na hao boda bodaKwahiyo hapa abiria wakashuka wakala pembeni wakishudia Maafisa Ubashiri wakifanya Yao, mpaka wanashusha mizigo hakuna hata alieonyesha juhudi ya kuita polisi maana pale Msambiazi ni hatua chache toka Korogwe stand wangeweka road block Kwa boda zote zinazotoka Msambiazi labda kama waamue kwenda Mombo nako wangekamatwa
Lema aliwahi kusema bodaboda ni laana, mkampinga, ona sasa bangi, pombe kali ndiyo zinawadrive.Basi la Kampuni ya Sai Baba linalofanya Safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Arusha limeteketezwa kwa Moto mara baada ya kusababisha Ajali kwa kumgonga Dereva wa Bodaboda na kudaiwa kusababisha kifo kwa dereva huyo wa Bodaboda katika eneo la Msambiazi wilayani Korogwe mkoani Tanga leo Februari 27, 2024.
Waendesha Pikipiki (Bodaboda) katika eneo hilo wamejichukulia sheria mkononi mara baada ya kushuhudia ajali hiyo ikitokea kwa kulichoma basi hilo moto kwa kutumia mafuta ya Petroli.
View attachment 2918376View attachment 2918378View attachment 2918377
Kwer kabisaTuheshimu sheria za barabarani, pia madereva tue na Ni dhamu, Dereva Bus, Gari ndogo na Boda Boda. Wote mnatumia Vyombo vya Moto, Tuwapo barabarani Tuheshimu Sheria na tusiwe na haraka zisizo za Lazima.
walifaulishwa ingawa baadhi yao waliibiwa mizigo na hao bodaSo Abiria watalala njiani maskini
kuna polisi alifika mwanzo hakuwa na silaha yoyote nae alizidiwa nguvu jamaa walikuwa na dumu lenye petrolDuu kampuni yenyewe ishajichokea inatembea jina tuu,
Hilo basi lililochomwa ndio First Class yake.
Polisi nao walikua wapi? Si wapo karibu tuu hapo.
walifaulishwa ingawa baadhi yao waliibiwa mizigo na hao boda
Ohooo, Kesi wameikuza wenyewe, hivi hapo ushafika korogwe mjini kutokea Arusha au bado?kuna polisi alifika mwanzo hakuwa na silaha yoyote nae alizidiwa nguvu jamaa walikuwa na dumu lenye petrol
Bodaboda ni kichaka cha wezi!!! hapo lengo kuu ni kuwatia hofu raia, kuiba na kufuta ushahidiaisee abiria walishushwa kwa vioo kupigwa mawe na baadhi ya vitu vya abiria vilibebwa na hao boda boda
Kwamba bodaboda ni janga la kitaifaUshauri wako nini wataka kuwaambia
Imagine tungekuwa tunaishi bila sheria maisha yangekuwajeWewe kama sio dereva hauwezi kuona kero za bodaboda hawa jamaa ni hatari sana na hakuna wanachojua zaidi ya breki na kukanyaga mafuta Tu...ukiona Hadi bungeni nako wameanza kuwa na mashaka dhidi ya bodaboda ujue hapo kuna shida
Tatizo siyo wastaarabu kabisa hata sehemu za mataa ya trafic hupita tu bila kufuata sheria za barabaraniDuh! Hawa jamaa wanapenda sana kujichukulia sheria mkononi na maamuzi ya hovyo.