Kosa gani unalijutia hadi leo?

Utoke uende wapi? komaa hapo hapo.
 
Kwa ulipofikia kumuona ni nuksi kwenye maisha yako ni bora ukampa talaka.

Alafu acha kuwabebesha watu wengine lawama katika failures zako ukiwa na mentality hiyo hata kufanikiwa huwezi utaishia kuwa ni mtu wa lawama tu
Na ukiona mtu analalamika jua ameumia moyon
 
Mimi nilioa mwanamke mwenye nuksi kama huyo wa kwako,
nikafilisika ndani ya miezi minne tu.

nikaona isiwe shida, nikaomba msaada kwa ndugu nipate mtaji hata laki 3, wakakataa kabisa.

nikajitetea sana kwamba toka nioe kuna mabadiliko yametokea nahisi kufilisika.

Nikapewa jibu eti pambana, ndoa sio mchezo.

nikaona isiwe kesi, nikakopa elfu 30 tu nauli, nikamrudisha kwao mtoto wa baba mkwe!

siku hio anaondoka nilipata Furaha flani hivi sikujua hata imetoka wapi.

Baada ya wiki nikaona michongo imeanza kufunguka yenyewe.

Eti baada ya kumtimua huyu mwanamke nashangaa nalaumiwa eti kwanini nimevunja ndoa. Ndugu Bwana shida sana

sitosahau hii ishu yangu mwaka wa 3 sasa imenitokea. Binti yule aliolewa tena akaachika, kumbe kajaa mikosi tu mtoto wa watu hajajistukia tu
 
Mkuu nimependa hii, nitaifanyia kazi kwa kweli
 
safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…