Kosa gani unalijutia hadi leo?

Mwambie YESU...
 
Mi mpaka sasa sina kosa ambalo seriously najutia.. naona nipo nipo tu.

Mybe nikiachana na huyu shangazi nitajutia mnooo mnooo.

Lakini mpaka sasa msimamo wetu upo strong stronger...
 
Mkuu mlaumu kwa mengine ila si kwa afya yake maana bila shaka naye anatamani mtoto lakini kuna mambo yako nje na uwezo wake kama hilo la mtoto.
 
Kamwe usimuache mke wa ndoa kisa tu hajajaaliwa kuzaa.

Utakuwa umemfanyia ukatili mkubwa sana wa kisaikolojia mkuu.

Unless kama una uthibitisho kwamba hapati mimba kwasababu alichezea usichana wake kwa kutoatoa mimba, kutumia madawa kama p2 nakadhalika.
 
Mkuu achana na hizo mentality za kuamini huyu ana mkosi huyu hana....Bas tu hakua fungu lako huenda ulipata Right person in a wrong time
 
Nendeni kwa mtaalamu mkasafishwe nyota acheni kukaa kizembe kwa dunia ya sasa iliyojaa majungu na fitna za bila sababu, kizuri huzaa kibaya na kibaya huzaa kizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…