Kuna haya makapi ,yanaongeza market share kwa ajili ya waafrika
View attachment 3413519
Naona bado winga unapiga kelele Nokia simu moja iliuza units nyingi ila kiko wapi ..Simu zenu ni makapi ,hamna hoja ... Mpaka mnakosa usingizi kweli dawa imewaingia...Makapi mengi yanauzwa Africa na happ Samsung ndiye kinara😂😂ila Google pixel ni aina moja ,inayoshikwa na mzungu inakuja huku kama mtumba ila Samsung kuna makapi kwa ajili y watu weusi.View attachment 3413530
Unaropoka tu bila hoja, Samsung zinauza sana sio A series wala S series zote zinauza. Tuchukue tu mfano Samsung Galaxy S25 Ultra mwaka huu imeuza kuliko Pixel yoyote duniani licha ya kuwa expensive
😂😂😂😂😂Kama huna D 4 kuwaelewa pixel ni ngumu sana, ila jamaa wako poa sana.
Samsung kama Infinix tu Kila siku wanatoa simu na baada ya mwezi simu inapiga mstari
Na samsung imewekwa kwa ajili ya wanaopenda nini?Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.
Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Maneno matupu bila facts wala hoja ya msingi. Pathetic!Naona bado winga unapiga kelele Nokia simu moja iliuza units nyingi ila kiko wapi ..Simu zenu ni makapi ,hamna hoja ... Mpaka mnakosa usingizi kweli dawa imewaingia...Makapi mengi yanauzwa Africa na happ Samsung ndiye kinara😂😂ila Google pixel ni aina moja ,inayoshikwa na mzungu inakuja huku kama mtumba ila Samsung kuna makapi kwa ajili y watu weusi.
yeah, mtoa mada ameandika kishabiki sanaGoogle pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.
Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Wana Varieties ila wao wanatengeneza simu nyingi ambazo ni best all arounder,Na samsung imewekwa kwa ajili ya wanaopenda nini?
Umezungumza pixel imetengenezwa kwa wanaopenda clean software na camera, unaweza ku list baadhi ya vitu ambavyo Samsung yupo vizuri? au features za kipekee kumfanya mtu achague Samsung aiache Pixel?Wana Varieties ila wao wanatengeneza simu nyingi ambazo ni best all arounder,
Flagship ya Samsung ita tick box karibia zote compare na flagship Ya Google.
Tensor zimetengenezwa na samsung tena wanatumia tech za zamani ambazo Samsung alishaacha kuzitumia muda mrefu. Tensor zinapitwa hadi na Kirin za Huawei. Even processor za midrange ambazo zinatumika kwenye simu za bei rahisi zinapita Tensor zinazotumika simu za mamilioniBinafsi naona Samsung inapigwa chini na Pixel , pixel ni next level, ni vile watu wamekariri..
Google Pixel ni inatengenezwa na Google wenyewe watu haohao wanaotengeneza Android , hiiii ina maana kuwa wanaielewa Android kwa undani zaidi kuliko kampuni nyingine yoyote...
yaani wana control kila kipengele cha mfumo mzima, kuanzia Android yenyewe, hadi chip zao za Tensor, hadi vifaa vya simu kuendana na Android, hii inafanya Pixel kuwa mfano bora wa Android jinsi ilivyokusudiwa kuwa.... yaani hapo google ndio walionyesha dunia ni jinsi gani wanataka Android iwe..
Kama hujakariri simu, utagundua pixel ni bora zaidi kuliko Samsung na sababu naweza kusema...
1. Desktop mode aka Samsung dex, best on market kama unatumia simu kwenye tv ama Big monitor, inasaidia pia simu ikivunjika kioo,Umezungumza pixel imetengenezwa kwa wanaopenda clean software na camera, unaweza ku list baadhi ya vitu ambavyo Samsung yupo vizuri? au features za kipekee kumfanya mtu achague Samsung aiache Pixel?
Nmetoka kuuza pixel 8pro mwez ulopita sababu hii nkavuta zangu S24 ultra kioo mafutaUnataka tuongelee mistari ya kijani? Haya hizi ni Google Pixel zimepata greenlines kwenye vioo
View attachment 3413442View attachment 3413443View attachment 3413444View attachment 3413445
Kama ikitokea huamini kuwa hizo ni Pixel, sema nizidi kukuletea proof
Googl pixel 6pro inauzwaje mpya kabisaView attachment 3413453
Hakuna mjinga wa kudamdanya labda atoke kijijini ,huko mimi ni fundi simu ..Hayo Masamsung ni bomu ,simu la mil 2 inatoka mistari kisa update ...Imetoka ile trash ya kwanza niupdatw fresh mapaka pixel 6 ,nyie takataka zenu za kijani zinatoa mistari😂😂🥲
Mkuu lakini si kaelezea kwanini zina jizima zenyewe, kasema zikapata joto la nje mfano jua kali zinakupa taarifa mara 3 usipo Zima inquiries yenyewe na kujiwasha baada ya kupoa.Pixel labda ununue mpya za kariakoo zinazima zenyewe