Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Mbona huu mwandiko unafanana na mleta thread?
 
Soma uelewe ,third party inakuwa haina share ,wao Google hawana market share Africa kwa ujumla ... Umenielewa?

Kama simu ulinunua Tz basi iliuzwa ikiwa imetumika kutoka nje , hauwezi kuhesabu simu imeuzwa mara mbili .. Market share wanahesabu direct sales kutoka kwenye kampuni na soko ...Ikiflashiwa na kuuzwa tena haihesabiki hpo ni third party ,haina warranty wala after sales service...Baada ya kuona simu zao zinauzwa kwa third party walianzisha huduma za kimtandao ,kama mnatengenezo.

Simu au bidhaaina market share ile unit inayouzwa kutoka kiwandani moja kwa moja sio mtumba ...πŸ˜‚
 
Amezidiwa kwenye nini? Tofauti na kuandika utashi wako hujaandika kazidiwa wapi.

Hivyo ulivyoandika vyote ni vitu vidogo vidogo ambavyo hata bila AI inafanyika na kwenye Samsung pia ni offline hakuna sophiscation kubwa, mfano wa kazi kubwa ambayo Samsung inafanya Offline (optional uki download model) ni Generative AI kwenye picha.

From pcmag
AI requires a lot of processing power and that is often best left to remote servers accessed in the cloud. With the Galaxy S25, generative image editing is now possible without a network connection if you download a Large Language Model (LLM) pack. This Photos app feature lets you remove or resize items in an image, and when you do, your phone can fill in obscured areas. Until now, this required an active internet connection. With the S25, you can edit your photos no matter where you are. Samsung still allows you to use cloud-based processing if you prefer, and it says the results will be exactly the same.

Source

Kama mimi nilivyoonesha na wewe waweza nionesha kazi kubwa kama hio ambayo pixel inafanya offline na samsung haiwezi?
 
Mimi situmiii iPhone ila hao jamaa ni best sana ndio wanafata hawa Samsung na ndugu zake ni kama sasa hivi nianze kuisifia Ford everest ni bora zaidi ya range rover biography eti kwa sababu natumia hii sio kweli bora watabaki kuwa bora tu hata mimi nikiwakataa..
 
Vivo, Honor, Oppo wote hao hawana direct sales kwa ujumla hapa Afrika wanatumia third parties. Mbona wana market share kubwa kuliko Google Pixel duniani?

Na kama kuuza simu used haihesabiki kwenye market share, kwani wakati ikiwa mpya haikuhesabika, kwamba walijua itakuwa used?

Hiyo simu ambayo imeuzwa na third party haipati software update? Kwamba Pixel waliibiwa hiyo simu au wakati wanatengeneza hawakutaka wauze au hawakujua watauzaje. Kinachofanywa na Oppo kina tofauti gani na Pixel, mbona Oppo inauza zaidi?

Mbona Apple hawana store yeyote ile hapa Africa na simu zao zipo? Na inaongoza market share duniani. Tofauti yake na Pixel kwenye hilo ni nini.
 
Kila benchmark duniani inatambua Samsung inamzidi Pixel kwenye AI. Kila vipimo vinaonyesha, kila jaribio linaonyesha.

Kwenye user experience na uhalisia Samsung inaongoza bila upinzani. Ila tukija kwenye porojo, Pixel inazidi porojo. Vitu visivyo na data vya kusema kutokea mdomoni hapo Pixel anatamba.

Tukisema leta benchmarks hapa utakuta Pixel lina numbers za hovyo sana hazistahili kuwa league sawa na Samsung.
 
Na kama kuuza simu used haihesabiki kwenye market share, kwani wakati ikiwa mpya haikuhesabika, kwamba walijua itakuwa used?

Somewhere Duniani hio pixel Imenunuliwa na kuja kuuzwa huku, Mostly wananunua Japan, ndio maana ukiangalia Marketshare ya Google simu nyingi zimeuzwa Japan miaka kadhaa iliopita japo wa Japan wenyewe hawatumii sana.
 
Acha urongo , benchmark ipi...Kitendo cha market penetration ya Google pixel kinaonesha wako juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..Simu ya juzi ila inawatoa mavi ,kila siku inapanda ,mmebaki na kuhonga watu ili kutoa reviews za uongo .

Endelea kupambana na green line kweny screen , Google ni level nyingine.
 
Umemwagia ukweli wote hapa mpaka ameduwaa
 
Google pixel hawnaa simu zinazokuja Africa πŸ˜‚πŸ˜‚units zao ni chache ,tena kuntu sio Samsung zina version kibao kama,hata hizo S series kuna za wazungu na makapi ya Africa ... Google pixel wao market segment yao bado ni limited ,huku tunachukua zilizotumika .
 
Kama hutumii na haujawahi kutumia iPhone umejuaje na ulijuaje ni best?

Kuna baadhi ya vitu Samsung ni bora na inaizidi iPhone.
 
Battery kipengele na inashika moto sana lifespan 2 years kanunue nyingine hio uza
 
Katika ulimwengu wa AI hata tuweke shilingi ngapi , Samsung ni simu za washamba walizoe kioo cha kijani...Haina software better kuliko Google pixel hata miaka 100 inayokuja ...Acha kuongea porojo ,simu ya juzi zinawatoa kamasi ... despite kuwa na soko la miaka ila Google pixel anatoboa .


Angalia hii video kwanza

View: https://youtu.be/vtC4sK1ivkY?si=Kkc6O13oSSCcSaFz
Samsung lazima apate features kama Google pixel kwa sababu Ai ni ya kishamba ,kabaki kulindwa ila hana kipya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kidogo ebu waeleze ,hata soko lake liko limited still Samsung anaumiza kichwa ...Google kwenye AI kaua ,yuko mbali sana.
 
Greenline pixel zipo kibao, vioo vya pixel ndio hivyo hivyo vya Samsung (Google ananunua vioo kwa Samsung)

Pia pixel sio simu za Karibuni, pixel one imetoka 2016/2017 na kabla ya hapo nexus ya kwanza imetoka 2010. 2010 makampuni kama Xiaomi, Oppo, Vivo etc Yalikua hayapo,

Pia toka 2016 wameuza simu kama Milioni 40, hio idadi Kampuni kama Samsung na Apple ni Mauzo ya mwezi mpaka miezi miwili.
 
Nan anaongoza ?mbona simu ni zile mawinga mna visa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Samsung ndiye kiboko wa hizo ,hamuwezi kuzichafua Google pixel zinajiuza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…