Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mama tunamwambia Katiba Mpya pekee ndio itakayompa mafanikio. Akishupaza Shingo atamaliza hivi hivi ataishia kutengua na kuteua tu.Haya wengi tuliyasema wakati akiwa hai, kwenye kilele cha urais wake. Tulimwambia aangalie sana, wapinzani wake kama kina Lissu, ni watu wanaompenda sana na wanaanika upungufu wake ili arekebishe. Tukamwambia maadui wake wakubwa wako CCM na wengi ni wale wanaomwimbia mapambio ya kumtukuza. Hakusikia sauti zetu.
Ukimsikia maneno ungedhani Malaika.Alichokuwa anasema sio alichokua anamaanisha, sisi tuliangalia matendo yake na sio maneno yake.
Kupora fedha za mfuko wa korosho na korosho za wakulima ndio ulichokiona, ama ni tofauti na Mimi nilichoona?Ulichokiona wewe siyo tulichokiona sie.
Sie tulimwona matendo yake na maneno tukajua alimaanisha alichosema.
Uroho wa madaraka huondoa akili; ukianza tu ugonjwa huu akili inakufa. Embu tujiulize huu ni muhula wa pili au wa kwanza kwa uongozi huu.Alikuwa hana akili
Alimuua nani?Yeye alikuwa anajua kuua pekee
Huwezi kuelewa wewe bado mchangaAlimuua nani?
Huwezi kuelewa wewe bado mchangaAlimuua nani?
SawaNani asiyeua? Mbu anaua. Chakula kinaua. Viroboto wanaua. Bodaboda zinaua...the list goes on and on
Jibu swali acha mipasho wewe shoga.Huwezi kuelewa wewe bado mchanga
Dada angu kabla ya kupinga uwe unafanya utafitiJibu swali acha mipasho wewe shoga.
Mimi sijasema nataka nikupige mashine. Nimekwambia ujibu swali nililouliza.Dada angu kabla ya kupiga uwe unafanya utafiti
Ukweli dada angu nakuheshimuMimi sijasema nataka nikupige mashine. Nimekwambia ujibu swali nililouliza.
Wewe shoga jibu swali, mipasho ya nini, jibu swali. Unaulizwa swali wewe unaanza kuleta mauno.Ukweli dada angu nakuheshimu
UWT inabidi mpewe semina elekezi, huu siyo utamaduni wa mtanzaniaWewe shoga jibu swali, mipasho ya nini, jibu swali. Unaulizwa swali wewe unaanza kuleta mauno.
Bora aliachana nao tu, wanakula pesa zetu wanaenda ulaya kila kukicha kula pesa zetu. Zile pesa zingeanzisha barabara nyingi sana.Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo
Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi.
Ukichanganya hizo falsafa utaumia Sana katika siasa.
Unakubali niniNakubali kabisa