MmmmhNdo maana kuna muda nawaza kutokuleta mtu kwenye this shitty earth and its getting shittier every day.....
pole kwa wafiwa.
Mgombea ubunge mbeya ni mwalanje a.k.a TrumpKwa taarifa nilizoona Facebook ni mtoto wa mgombea ubunge kupitia CCM Mbeya mjini... Baba yake ni Doctor Mabula Michael mahandeView attachment 3475625
Nilisoma sehemu kwamba walihitaji 200m , cha kujiuliza yule mzee alikuwa na uwezo gani , adui wa mtu huwa hatoki mbali.Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini baada ya Muda Mwili wa Shyrose ukapatikana akiwa amechomwa moto lakini pia akiwa amechomwa Visu Mgongoni.
Shyrose alianza Elimu yake ya Chuo cha Tumaini, Arusha ambapo alikuwa anasomea Shahada ya Sheria lakini kutokana na Matatizo ya kiafya ilibidi ahame akasome Chuo karibu na nyumbani ambapo alihamia Chuo kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Hapa alianza Mwaka wa Kwanza na mpaka Umauti unamkuta 😢💔
Shyrose amefariki akiwa na umri wa Miaka 21 tuu, too young 😭
Msiba upo Nyumbani kwao Mbeya, Uzunguni karibu na Desderia Hotel na kwa Taarifa za awali kuzika ni Jumamosi ila Mahali pa Kuzika bado hapajakuwa-confirmed
View attachment 3475619
Basi alitia nia akaangukia puaMgombea ubunge mbeya ni mwalanje a.k.a Trump
Mwalunenge...Huyo Mwalanje labda wa kwakoMgombea ubunge mbeya ni mwalanje a.k.a Trump
hawana muda wanatunza mimba ya mama yako ajifungue salamaChadema wana kikosi chao cha ulinzi red brigade,wameshindwa kufuatilia hili?
Kuchoma moto ni kujaribu kuficha baadhi ya ushahidi unaoweza kujitokeza mfano fingerprint,ushahidi wa vinasaba pia sometime wanajua itachelewesha uchunguzi hivyo watapata muda wa kutorokaIla binadamu😢.
Unamchoma mtu visu hujaridhika unaamua uutie na mwili wake kiberiti. Kama walikuwa na tatizo na mzee wake si wangemalizana wao kwa wao!
Inasikitisha sana😢😢Kuchoma moto ni kujaribu kuficha baadhi ya ushahidi unaoweza kujitokeza mfano fingerprint,ushahidi wa vinasaba pia sometime wanajua itachelewesha uchunguzi hivyo watapata muda wa kutoroka