Kova ndiyo kachoka namna hii?

Kova ndiyo kachoka namna hii?

Wakati Wa Original Comedy Walikuwa Wanamuita Handsome Boy

KaManda Yupo Sawa
 
Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.

Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Mjomba wangu Ana cheo kikubwa jeshini aliwahi kuniambia hivo kwamba anajipanga ili akistaafu ale Bata na anajua kwamba cheo kikienda hakutokua na anayemjua Tena
So basically alinambia,rafiki wa kweli moyo wake tu
 
Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.

View attachment 2210122
Post ya kiumbea sana hii

Yuko sawa tu huyo kwa umri wake, tena yuko fit kabisa; hujui kuwa hadi anafikia kustaafu umri ulikuwa umekwenda? Unategemea aendelee kuwa mtoto? Time ni one way traffic, hata wewe utafikia umri huo
 
Hivi unafahamu stahiki za Commissioner wa Polisi mstaafu wewe? Kitu pekee ambacho kinaweza kumpa msongo ni madaraka tuu lakini sio fedha.
Watoto Hawa wakija JF wameshiba viazi basi ni vurugu tupu,huyo mzee kiinua mgongo chake hakikuwa chini ya milioni 200 na pia wanatunzwa hao
 
Watoto Hawa wakija JF wameshiba viazi basi ni vurugu tupu,huyo mzee kiinua mgongo chake hakikuwa chini ya milioni 200 na pia wanatunzwa hao
Zaidi ya pesa ya mwezi hakuna kutunzwa hapo,igp pekee ndio anatunzwa hao wengine kazi kazi
 
Zaidi ya pesa ya mwezi hakuna kutunzwa hapo,igp pekee ndio anatunzwa hao wengine kazi kazi
Mkuu, pesa ya mwezi plus mamilioni sio kutunzwa huko ? Na mpaka ufikie cheo Cha kamishna Tayari una miradi yako
In short hawana dhiki hawa
 
Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.

Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Yale majizi ndani ya uniform hayanaga urafiki wa kudumu...
 
Back
Top Bottom