atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Hatutaki kupoteza point kabisaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]Wazed wa reference mnaniacha hoi [emoji23][emoji23]. Changia mada acha umbea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma banking pekee yake au?mbona navyojua course ya finance and banking,ukiwa na degree na ukapiga cpa yako hausumbuki sanaBanking!
Kuna mtu alinishauri nisome kozi za afya nikamuona ananichukulia poa ila natamani ningemkumbuka ni nani ili nirudi nikamlambe miguu kwa kupuuzia ushauri wake wenye tija!
Hili swala ndo linapoteza vijana wengi, tatizo wengi hawaelewi wanayojifunza akiitwa interview anapepesa macho.Mm naona taasisi nyingi mpaka upate ajira humo labda uwe una connection au ni mtazamo wangu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we mwenyewe umedoda mtaani miaka mitatu utamtafutia nani kazi sasaHivi nikisema hapa Jf waanga wote wa ajira vigezo sharti huwe umekaa miaka isiyopungua 3 mtaani bila kazi.
Waanga 50 tuunganike tufungue kampuni ya Education Consultant .
Tunakuwa tunashauri wanafunzi kozi za kusoma,njia za kufanya ili wafauru,tunawafanyia application za shule , chuo,vile vile tuna act km parents au walezi wao kwa ku wacanceling ,kufuatia maendeleo yao shuleni na kuwapga tuitions.
vigezo
1.Unatakiwa huwe angalau na Bachelor degree
2.Mwnye miaka mingi kitaani anapewa kipaumbele
Wangapi watajitokeza???? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] (utani tu jamaani) huu ni upepo tu unapita jamani ila naamini kila mtu humu atapa ajira mda si mrefu.
asante sana kiongozi maana nilikua nataka nipate picha tuu maana nimejishikiza sehemu, watu wengine ukiwaambia kuhusu hio kozi wanashangaa wanasema kupata kazi ni ngumuSio lazima inategemea na skills anazohitaji muajiri wako!
Uktaka kuomba kazi soma kwa umakini skills, knowledge na uzoefu anaoutaji muajiri kwny tangazo husika la kazi.
Marketing ina soko...ajira zipo nyingi..ni wewe tu connection na kujichanganya..sijawahi ona mtu wa marketing analala njaa..lazima uwe mjanja.hahahahaaa mbona unacheka tena mkuu
nashukuru sana kiongozi nipo kwenye microfinance naona kuna yumba natafuta sehemu nyingineMarketing ina soko...ajira zipo nyingi..ni wewe tu connection na kujichanganya..sijawahi ona mtu wa marketing analala njaa..lazima uwe mjanja.
Nilishaacha kufikilia kuajiriwa kabisa baada ya kukaa sana mtaani ,ss nawaza kuendesha biashara binafsi na kuingia katika siasa ,ajira haina pesa ninayoitaka.Sasa we mwenyewe umedoda mtaani miaka mitatu utamtafutia nani kazi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi za kazi nyingi sana,tafuta connection utapata kazi,kwenye makampuni viwanda binafsi hutakosa kazi,nashukuru sana kiongozi nipo kwenye microfinance naona kuna yumba natafuta sehemu nyingine
nashukuru kiongoziNafasi za kazi nyingi sana,tafuta connection utapata kazi,kwenye makampuni viwanda binafsi hutakosa kazi,
ukisema mpo wawili hapo unatudanganya mkuu.Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.
Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.
Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
hiyo kozi haina ubaya sana coz inafanana sana na Electrical engineering utofauti na majina tu.Mbona Inasifiwa kila kona. Ishakua majanga mapema hii?
Why usiandike proposal mbalimbali mzee. Cheza na wizara ya nishati.Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.
Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.
Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Usitake nikurudishe shule form one B somo la chemistry!ukisema mpo wawili hapo unatudanganya mkuu.
aliyekuwa principal wa Dar tech/DIT ni Proffessor wa Nuclear(Prof. Kondoro) na kwenye vikao vyote vya nchi vinavyohusu nuclear lazima awepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi zipo zinafanyika ,ila ndio hvyo reserch zinaitaji pesa,ukideal sana na tafti ambazo hazijulikani lini zitaingiza hela wife anaweza hata kukukimbia,utaambiwa baba Ashibae huo mda unaokaa kufanya hayo mambo si bora ungefungua hata genge la nyanya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Why usiandike proposal mbalimbali mzee. Cheza na wizara ya nishati.