Hii course inatolewa wapi huko niende nikapate hayo maarifa ?Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya waliorogwa .
Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.
Utapoteza pesa zako bureeee!Mimi nataka nianze masters ya actuarial science , vipi ndugu zanguni niende kuna lipa ukimaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongeze na Ghalib bilal awe watatu nae kapiga mambo ya nuclear.Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.
Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.
Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Hapo sasa ukienda kwenye ajira portal lazima ikuteme kama wameandika lab technician halafu umesoma chemistry wanakutema.Chemistry nafuu ajira zipo wale TFDA wanatoa ajira nyingi kila mwaka na viwanda vingi vinatafuta watu wa Chemistry,vile vile mtu wa chemistry anaweza omba nafasi za Lab.
Waajiri wa kampuni zenye tamaduni za kizungu wanataka mtu awe na cheti cha IOSH Managing Safely,NEBOSH(igc) au SAMTRAC mfano watu kama Yapi,Simba Cement,Barrick n.k .Hapo nimekusoma..mana utajikita zaidi kwenye occupational health and safety ama..?
Na kuna shortcourses zinatolewa ESAMI hizo vipi unazipata vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo system imeanza siku hizi,now days hata nafasi ya dip unatoswa kama ww una bachelor yaani noma sana.Hapo sasa ukienda kwenye ajira portal lazima ikuteme kama wameandika lab technician halafu umesoma chemistry wanakutema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kozi za Mweka zote zipo poa naona,Wildlife Management ipo bomba kabisa.Ila sijajua unaenda kusoma level gani??Ohoo! Nimepanga kuchukua hii kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA 2020....
Wakuu hapa vipi au napotea ??
Nchi nyingi za kusini mwa Africa zinatoa hiyo degree ila chuo ambacho kizuri sana ni "University of Macho " kipo Zambia .Hii course inatolewa wapi huko niende nikapate hayo maarifa ?
Hiyo ipo poa!
Kwa hiyo unamcheka sio??Kuna mwanangu kasoma Bachelor of Arts in geography and environmental studies Udsm alijua atapata shavu NEMC had saiv yupo anapambana 2 kitaaa hamda direction yoyote.nomasana
Zipo nyingi tu, ambazo hazina market mfano petroleum engineering, petroleum chemistry petroleum geology market iko wapi Tanzania.Hakuna kozi ambayo haina market?Kuna wahitimu ambao hawana Market
Mzee yani kama wewe ni msomi wa hio fani na hata hujui market ya proffession yako basi wewe ni tatizo kubwa kulikoZipo nyingi tu, ambazo hazina market mfano petroleum engineering, petroleum chemistry petroleum geology market iko wapi Tanzania.