Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Ila inaweza tokea kama kuna uhaba mkubwa wa fani husika na za kipekee ukiwa na sifa za ziada ila sio kwa udaktari maana mwaka juzi Mgulani kwenye interview walikuwa watu wa MD nyomi
 
Kozi ya urais naona hii kozi ngumu sanaa kila anaeisoma hatamani kuendelea nayo mara nyingi husema kazi hii ni ngumu mnoo mniombee hii kozi huenda ikawa kozi ngumu sana kuliko kozi zote

mwanabhonga
 
asante sana kiongozi kuna mdogo wangu apa nitampa ushauri huu naamini utamsaidia
 
Ila inaweza tokea kama kuna uhaba mkubwa wa fani husika na za kipekee ukiwa na sifa za ziada ila sio kwa udaktari maana mwaka juzi Mgulani kwenye interview walikuwa watu wa MD nyomi
Vipi kwenye interview hakuna waliopika umri??
 
Nina degree yangu ya telecom ipo kabatini tu haina kazi.
Telcom nakushauri uanze kutafuta Kampuni za minara zipo nyingi sana kuna kaka zako walimaliza UDSM Telcom miaka ya nyuma sana walishafunguaga hzo kampuni na wanafanya kazi kama Sub Contractors km ulisoma UDSM ni rahisi sana kuwaingia kaombe kujitolea ,wao hawana noma ni masela sana hata km unajitolea watakulipa viposho vidogo vidogo,ila ni kazi za msimu sana coz tender zinakuja kwa kusua sua.
 
Hiv ccna na ccnp ni sh ngapi? Nawaza kujisomea tu mwenyewe home nilipie hio mitihani nifanye!
Hizo ni Cisco Certified Network Associate (CCNA) na Cisco Certified Network Proffessional (CCNP) wenzako wanasomaga mapema wakati wapo chuo.Nenda pale UDSM /UCC wanatoa hizo kozi watakupa na bei zao au tembelea website zao.

Maana naweza nikakupa bei za mwaka 2000 hapa ukakalili.
 
samahani kaka kwa usumbufu mimi nimesomea mambo ya pr and marketing ivi kazi zake ni masuala ya uandishi wa habari tu?
 
TheDreamer Thebeliever,
Acha kumdanganya mwenzako ajaze mavyeti ndani, unadhani huko NEMC kuna kazi kama usemavyo? hao ajira zao zinapitia psrs na si vinginevyo
 
Kuna mwanangu kasoma Bachelor of Arts in geography and environmental studies Udsm alijua atapata shavu NEMC had saiv yupo anapambana 2 kitaaa hamda direction yoyote.nomasana
Jina lingine wanaiita BAGEs.Hii ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…